Mama Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba, huu ni ushauri wangu kwenu nnaoamini wenye manufaa makubwa kwa uchumi wa Tanzania.

FIRST Class Economist Hawezi Kununua Hii, Na Majibu Yake Ni Rahisi Tu: Currence Pegin And Same Rate Taxation Havijui, Kwa Kuwa Haviko Kwenye Syllabus Ya Bcom Pale Ud.
Kwa Bcom, Pale Ud, Mkazo Uko Kwenye Tozo, Tozo Na Tozo Tu.

Same rate taxation hua ni mwarobaini wa Rushwa na hii huongeza mapato maana unajikuta unalipa mapato na kodi mbalimbali bila mjadiliano na mtu, niliwahi kulisema zamani sana , kontena ya vitenge au kanga kodi ni kiasi kadhaa imeisha hiyo,
 
Twendeni huko kwa kweli Times is now, flat rate, with no longolongo!, itazidisha confidence ya wafanyabiashara itapunguza rushwa na kubembelezana!
 
Kumbe una akili , ukiacha udini unaweza kuwa msaada mkubwa sana kwenye jamii
 
Hapana siyo complex, inabidi serikali ijiamini sera zake za uchumi kwa sababu ndiyo kufanya hivyo kunanyanyuwa sana uchumi.

. Serikali isiyofanya hivyo ni ngumu sana" kutobowa".

Kwa Tanzania kwa dhahabu na almasi tuliyonayo ni vyepesi sana kufanya hivyo.
Ni Mahesabu tu ya kiuchumi ya kuwa na reserve ya dhahabu kiasi fulani wakati wote kwenye hazina yetu. Kupanda na kushuka inakuwa hiyo reserve yetu huko BOT kwa Tanzania. Ni Kinga inapotokea hasara ya kushuka au kupanda thamani za sarafu, unakuwa na kinga kwa wananchi wasiumie Kiuchumi.

Wachezaji wa masoko ya sarafu za kimataifa wawe wazuri tu pale BOT, ambao Tanzania tunavyo vichwa vinavyiweza kfanya hayo, kama Rished Bade, siku mbili tatu anapata uzoefu wa kusimamia na kufundisha vijana.
Njia pekee ya kwanza kuhakikisha Taifa hili linapiga Hatua, ni kuacha watu wawe na FIKRA HURU na FIKRA hizo ziheshimiwe.

Akili za watu ZIHESHIMIWE.

Tatizo kubwa la nchi hii, Serikalini kumejaa UOGA MKUBWA SANA kiasi kwamba wanataka KUDHIBITI kila mtu.

  • Rais anadhibiti CHAMA/CCM kwa kuweka speaker wake.
  • Anadhibiti mahakama
  • Anadhibiti wasanii kupitia BASATA
  • Anadhibiti vyama vya siasa NGOs Wanazuoni, vyama vya wafanyakazi, vyama vya kitaaluma.

- Anadhibiti MEDIA.

Akimaliza na kutukuza UCHAWA.

Watu wanaomsifia, kumwabudu ndio anawapa vyeo na pesa.

Akili za watu HAZIHESHIMIKI.

Watu wanapewa Teuzi kwa kuangalia:
  • Dini
  • Wakwe
  • Mikoa wanayotoka
  • Uchawa
  • Waliokusaidia kampeni
  • Watoto wa vigogo

- Kunyamazishana nk
Katika Mazingira hayo huwezi kupata UFANISI hata siku moja.

Nchi hii watu wenye akili wapo, lakini serikali haijawahi kuthamini akili za watu. Rais mwenyewe yupo yupo hata hajui Nini kinaendelea nchi hii.
 
Kabla ya kuanza ushauri wangu nachukuwa nafasi jujitambulisha.

Kwa wasionielewa, binafsi nilifanya kazi kwa miaka mingi sana nje ya Tanzania. Kazi zangu zote zilihusu sayansi ya mawasiliano na biashara. Nilipostaafu nje huko, nilirudi nyumbani nikafunguwa kazi za Ushauri wa Kibiashara (Business Consultancy) nayo ikazaa kazi zingine kadhaa ndogo ndogo. Sasa ni nusu Mstaafu (semi retired) na kazi zote nazifanya kutokea nyumbani kwangu.

Ushauri Wangu :

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria na tumeshaamuwa kuukuza uchumi kwa kukaribisha wawekezaji ili wawekeze Tanzania. Hilo ni jambo jema sana.

Ili tupate mafanikio ya haraka kama nchi na wananchi. Naamini mafanikio yoyote ya nchi kwanza ni muhimu sana yaonekane kwa maisha ya wananchi siyo kwenye takwimu tu. Kila mwanachi ni lazima yeye mwenyewe binagsi ayahisi mabadiliko, siyo mpaka zipigwe propaganda za kumuaminisha mwananchi kuwa Tanzania kuna mafanikio. Kama wsle. Ndugu zangu (Waarabu wa kuchovya) ambao ukimuuliza wewe kabila gani? Kukujibu mpaka aanze kwa kuapa "Wallahi mimi Mwarabu" [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa nchi yenye mageuzi ya kweli ya kimaendeleo haitakiwi iwe hivyo hivyo, maendeleo na mafanikio ayahisi mwenyewe mwananchi.

Ni muhimu sana mambo mengibya namna tunavyoyaendesha kwenye uchumi wetu ni lazima tuyabadilishe haraka sana. Kwa kuanzia nashauri tuanze na mawili makubwa lakini ni myepesi sana serikali kuyatekeleza. Yataanza juonesha athari chanya mara moja (positive results).

1) "Peg" Kigingi.

Kwa haraka sana tuiwekee vigingi (peg) Shillingi yetu ili tuifungamanishe na pesa za nje zinazitumika kwa wingi kwenye biashara za kimataifa. Tunaweza juweka vigingi (pegs) kwenye sarafu nyingi tu duniani. Ingawa duniani huko ilizoweleka sana kuweka kigingi kwenye US Dollar peke yake, lakini dunia ya leo na mambo yanavyobadilika kwa haraka, si kazima kuweka kigingi kwenye sarafu (currency) moja tu.

Kwa kufanya hivyo kwenye biashara yetu kwa miaka mingi usoni hakutakuwa na mifumuko (inflation) zabghafla kwa bidhaa zetu kama ilivyo sasa.

Wafanya biashara na serikali wstsweza kupanga bajeti zao za mapato na matumizi kwa ufanisi zaidi.

Tutawavuta wawekezaji wengi wakubwa sana ambao kwa sasa uwekezaji wao wote unadhaminiwa kwa sarafu za nchi wanazowekeza kuwa na vigingi.

Ni vigumu kuwsvuta Tanzania. Wawekezaji wenye mitaji mikubwa kama hatuna dhamana ya uwekezaji wao kubaki na thamani ile ile ndani ya muda wa kurudisha mitaji yao (ROI), ambao mara nyingi huwa kati ya miaka 2 mpaka 5. Na dhamananrahusi ninkuwa nansarafu isyopanda na kushuka, yqani iwe pegged. Mfano, kuna nchi duniani huko leo miaka 40 mpaka 50 sarafu zao na.zingine zimebaki kiwango kile kile (stable).

Wakulima wetu watakuwa na uhakika wa bei za mazao yao wakati wote.

Walaji, wananchi walio wengi, watakuwa na uhakika wa kufanya bajeti nzuri za matumizi yetu kwa kipato chetu.

Sarafu yetu itakuwepo kwenye soko la kimataifa na tunaweza kusafiri nayo na kuibadilisha kwa thamani inayojukina bila tatizo lolote (convertible), siyo kama ilivyo sasa. Mpaka inaitwa *pesa ya madafu".

2) "Same rate taxation on everything".

Kodi zetu za mapato kwa serikali tuzibadili ziwe na kiwango kimoja tu cha kupigia mahesabu ya kodi. Siyo kama ilivyo sasa, kila kitu na namna yake ya mahesabu na vitu vinaongezeka kila siku. Hii ya kodi kuwa na viwango vingi vya namna nyingi tofauti kunafanya mianya ya rushwa iwe mingi sana na wizi wa ujwepaji kodi unaongezeka.

Hayo mawili kwa sasa yanatosha kabisa kuanzia, ni mambo yaliyopo duniani huko.

Mama na Mwigulu huu ni ushauri muhimu sana.

Nawasilisha na nakaribisha maswali.
Napata shida kujadili hoja ya currency pegging kwasababu nilikutana nayo mara ya mwisho kwenye darasa la Prof. Wangwe mwaka 1981.
Lakini hoja ya pili ya marekebisho ya kodi ina mashiko. Mfumo wetu wa kodi ni masalia ya siasa ya Ujamaa na sera zake za import substitution, ambapo viwango vya kodi vilipangwa kwa lengo la ku-discourage luxury consumer items, pamoja na kulinda viwanda vya ndani (protectionism).
Ni kitu cha kusikitisha kuwa leo hii Mtanzania ananunua gari Japan kwa dola 10000, halafu analipishwa kodi kiwango hicho hicho au zaidi eti kwasababu gari ni luxury item. Matokeo yake ni haya tunayoyaona ya kuneemeka kwa kundi la watoza ushuru.
Naafiki hoja ya kuwa na kiwango kimoja cha kodi kwa bidhaa na huduma zote, tuachane na milolongo ya kodi ambazo zinawachanganya hata hao watoza ushuru.
 
Kabla ya kuanza ushauri wangu nachukuwa nafasi jujitambulisha.

Kwa wasionielewa, binafsi nilifanya kazi kwa miaka mingi sana nje ya Tanzania. Kazi zangu zote zilihusu sayansi ya mawasiliano na biashara. Nilipostaafu nje huko, nilirudi nyumbani nikafunguwa kazi za Ushauri wa Kibiashara (Business Consultancy) nayo ikazaa kazi zingine kadhaa ndogo ndogo. Sasa ni nusu Mstaafu (semi retired) na kazi zote nazifanya kutokea nyumbani kwangu.

Ushauri Wangu :

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria na tumeshaamuwa kuukuza uchumi kwa kukaribisha wawekezaji ili wawekeze Tanzania. Hilo ni jambo jema sana.

Ili tupate mafanikio ya haraka kama nchi na wananchi. Naamini mafanikio yoyote ya nchi kwanza ni muhimu sana yaonekane kwa maisha ya wananchi siyo kwenye takwimu tu. Kila mwanachi ni lazima yeye mwenyewe binagsi ayahisi mabadiliko, siyo mpaka zipigwe propaganda za kumuaminisha mwananchi kuwa Tanzania kuna mafanikio. Kama wsle. Ndugu zangu (Waarabu wa kuchovya) ambao ukimuuliza wewe kabila gani? Kukujibu mpaka aanze kwa kuapa "Wallahi mimi Mwarabu" 😂😂😂. Kwa nchi yenye mageuzi ya kweli ya kimaendeleo haitakiwi iwe hivyo hivyo, maendeleo na mafanikio ayahisi mwenyewe mwananchi.

Ni muhimu sana mambo mengibya namna tunavyoyaendesha kwenye uchumi wetu ni lazima tuyabadilishe haraka sana. Kwa kuanzia nashauri tuanze na mawili makubwa lakini ni myepesi sana serikali kuyatekeleza. Yataanza juonesha athari chanya mara moja (positive results).

1) "Peg" Kigingi.

Kwa haraka sana tuiwekee vigingi (peg) Shillingi yetu ili tuifungamanishe na pesa za nje zinazitumika kwa wingi kwenye biashara za kimataifa. Tunaweza juweka vigingi (pegs) kwenye sarafu nyingi tu duniani. Ingawa duniani huko ilizoweleka sana kuweka kigingi kwenye US Dollar peke yake, lakini dunia ya leo na mambo yanavyobadilika kwa haraka, si kazima kuweka kigingi kwenye sarafu (currency) moja tu.

Kwa kufanya hivyo kwenye biashara yetu kwa miaka mingi usoni hakutakuwa na mifumuko (inflation) zabghafla kwa bidhaa zetu kama ilivyo sasa.

Wafanya biashara na serikali wstsweza kupanga bajeti zao za mapato na matumizi kwa ufanisi zaidi.

Tutawavuta wawekezaji wengi wakubwa sana ambao kwa sasa uwekezaji wao wote unadhaminiwa kwa sarafu za nchi wanazowekeza kuwa na vigingi.

Ni vigumu kuwsvuta Tanzania. Wawekezaji wenye mitaji mikubwa kama hatuna dhamana ya uwekezaji wao kubaki na thamani ile ile ndani ya muda wa kurudisha mitaji yao (ROI), ambao mara nyingi huwa kati ya miaka 2 mpaka 5. Na dhamananrahusi ninkuwa nansarafu isyopanda na kushuka, yqani iwe pegged. Mfano, kuna nchi duniani huko leo miaka 40 mpaka 50 sarafu zao na.zingine zimebaki kiwango kile kile (stable).

Wakulima wetu watakuwa na uhakika wa bei za mazao yao wakati wote.

Walaji, wananchi walio wengi, watakuwa na uhakika wa kufanya bajeti nzuri za matumizi yetu kwa kipato chetu.

Sarafu yetu itakuwepo kwenye soko la kimataifa na tunaweza kusafiri nayo na kuibadilisha kwa thamani inayojukina bila tatizo lolote (convertible), siyo kama ilivyo sasa. Mpaka inaitwa *pesa ya madafu".

2) "Same rate taxation on everything".

Kodi zetu za mapato kwa serikali tuzibadili ziwe na kiwango kimoja tu cha kupigia mahesabu ya kodi. Siyo kama ilivyo sasa, kila kitu na namna yake ya mahesabu na vitu vinaongezeka kila siku. Hii ya kodi kuwa na viwango vingi vya namna nyingi tofauti kunafanya mianya ya rushwa iwe mingi sana na wizi wa ujwepaji kodi unaongezeka.

Hayo mawili kwa sasa yanatosha kabisa kuanzia, ni mambo yaliyopo duniani huko.

Mama na Mwigulu huu ni ushauri muhimu sana.

Nawasilisha na nakaribisha maswali.
thubutu!
wafuate ushauri wako waonekane hawana akili wanategemea za kwako
endelea kutushauri wajinga wenzio, hasa mambo ya dini
 
Njia pekee ya kwanza kuhakikisha Taifa hili linapiga Hatua, ni kuacha watu wawe na FIKRA HURU na FIKRA hizo ziheshimiwe.

Akili za watu ZIHESHIMIWE.

Tatizo kubwa la nchi hii, Serikalini kumejaa UOGA MKUBWA SANA kiasi kwamba wanataka KUDHIBITI kila mtu.

  • Rais anadhibiti CHAMA/CCM kwa kuweka speaker wake.
  • Anadhibiti mahakama
  • Anadhibiti wasanii kupitia BASATA
  • Anadhibiti vyama vya siasa NGOs Wanazuoni, vyama vya wafanyakazi, vyama vya kitaaluma.

- Anadhibiti MEDIA.

Akimaliza na kutukuza UCHAWA.

Watu wanaomsifia, kumwabudu ndio anawapa vyeo na pesa.

Akili za watu HAZIHESHIMIKI.

Watu wanapewa Teuzi kwa kuangalia:
  • Dini
  • Wakwe
  • Mikoa wanayotoka
  • Uchawa
  • Waliokusaidia kampeni
  • Watoto wa vigogo

- Kunyamazishana nk
Katika Mazingira hayo huwezi kupata UFANISI hata siku moja.

Nchi hii watu wenye akili wapo, lakini serikali haijawahi kuthamini akili za watu. Rais mwenyewe yupo yupo hata hajui Nini kinaendelea nchi hii.
anawanunua akina Waitara
hii katiba ni mbovu sana
 
Nimewahi kusikia hii kitu lakini sielewi, funguka tukuelewe
Kilichoifanya Dubai ifikie maendeleo ya kiuchumi hapo ilipo sio kampuni ya FD Bali ni kujifanya bandari Yao kuwa free port

🔷 Kwenye free port unaondoa au unapunguza Kodi za import duty na VAT hivyo kuruhusu bidhaa nyingi kuingia nchini kwako kwa garama ndogo Sana

🔷 Nchi inabadilika kuwa soko la bidhaa nyingi, hivyo kupitia mzunguko mkubwa wa kibiashara fedha zinakuwa nyingi mikononi mwa wananchi, wananchi wanafunga biashara nyingi hivyo serikali inakuwa inapata Kodi kidogo kupitia biashara za wananchi . Kwa kuwa biashara ni nyingi na soko ni kubwa basi serikali inapata mapato makubwa tofauti na kutegemea Kodi nyingi bandarini ambapo biashara zinakuwa chache.

🔷 Kupitia mfumo huu wa free port,watu wanakuwa na hela nyingi , wanafunga miradi mikubwa, wanajenga majumba na miundo mbinu ,Hali kadhalila serikali nayo inakuwa naapato mengi na ya uhalika.

🟦 Kinachorudisha nyuma ni Kodi za TRA ndio zinafanya bidhaa kuwa mara mbili au tatu ya garama za manunuzi na kusafirisha.

🔷 Kuna wataalamu wa uchumi wanatafsiri kuwa ili nchi iendelee au thamani ya fedha ya nchi yako iongezeke lazima IMPORT RATE IWE NDOGO KULIKO EXPORT RATE. Hii sii kweli na sii lazima iwe hivyo, hata import rate ikiwa kubwa Ina compel kuongezeka kwa uchumi kutokana na kuwa na soko la uhalika na mzunguko wa fedha kuonekana
 
Napata shida kujadili hoja ya currency pegging kwasababu nilikutana nayo mara ya mwisho kwenye darasa la Prof. Wangwe mwaka 1981.
Lakini hoja ya pili ya marekebisho ya kodi ina mashiko. Mfumo wetu wa kodi ni masalia ya siasa ya Ujamaa na sera zake za import substitution, ambapo viwango vya kodi vilipangwa kwa lengo la ku-discourage luxury consumer items, pamoja na kulinda viwanda vya ndani (protectionism).
Ni kitu cha kusikitisha kuwa leo hii Mtanzania ananunua gari Japan kwa dola 10000, halafu analipishwa kodi kiwango hicho hicho au zaidi eti kwasababu gari ni luxury item. Matokeo yake ni haya tunayoyaona ya kuneemeka kwa kundi la watoza ushuru.
Naafiki hoja ya kuwa na kiwango kimoja cha kodi kwa bidhaa na huduma zote, tuachane na milolongo ya kodi ambazo zinawachanganya hata hao watoza ushuru.

Fafanua Profesa wangwe alitoa tahadhari zipi
 
Wewe huna ulijuwalo. Piga goti tukutowe tongotongo za ubongo. Huelewi uchumi wala biashara za bandari.

Suala la DP World lina nini?
We unaejua unamiliki bilion ngap??
Mkataba wenye terms za kipumbavu namna ile we unaona fresh tuu na unajiona mwenye msomi na mwenye exposure... ndio mikataba unayoshauri wateja wako waingie??
Mnang'ang'ania et kotena zitapakuliwa masaa, hatukatai, ndo tuseme kwakua anaemuoa binti yetu ni tajiri so hatakama anaukimwi tumpe tuu kisa utajiri wake??

Kifupi hata huu ushauri wako wa uchumi umekaa kinadharia nadharia wala hautekelezeki.
 
Ndiyo shule za kusomea ujinga hizo.

Brazil waliweka "simplified tax system" walianzia kwenye biashara ndogo, tax zote na tozo zote sijui import, vat, usafi, mabango, zikajumuishwa na kuwa tax moja tu, kiwango kimoja tu kwa bidhaa zote. tena ikafanywa ndogo, kama sikosei, ilifanywa 30% flat rate, inajumuisha kila kitu. Hakuna kutozwa tozo au ushuru wowote baada ya hapo. Hakuna vigezo wala nini.

Kodi moja tu ukiingiza mzigo, unalipa 30% ukitengeneza kiwandani unalipa 30%

Ukiuza dukani 30% hakuna makadirio, kilichouzwa mwaka mzima ndicho unacholipia. Basi wafanyabiashara wenyewe wakaomba wawe wanalipa kila mwezi, kuweka wahasibu wa kila mwaka inawagharimu, wakaambiwa haya.

GDP ya Brazil ilipanda mpaka kufikia ongezeko la 26% kwa mwaka.

India wakaiga hiyo, wakanyanyuka vibaya sana . Hakuna mkwepa kodi hapo.

Ndiyo kina Dubai, wanafanya hivyo hivyo, hakuna mlolongo wa kodi Dubai mpaka imefikia unaambiwa hakuna kodi,
Tatizo viongozi wetu huwa wanatembelea nchi za nje lakini hakuna chochote wanachojifunza zaidi ya kufanya utalii,kuenjoy na kurudi nyumbani wakiwa empty.
Laiti ingekuwa wanajifunza mambo yanayofanyika nchi za watu tungekuwa mbali sana

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe fikiri mwenyekiti wa chama cha upinzani anakwenda Sweden kuangalia mashindano ya ngono. Unategemea nini?

Hawasemi hilo chadema, lakini tazama tarehe alizokuwa Sweden tazama na tarehe za mashindano ya ngono Sweden.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh kama ni kweli tuna safari ndefu sana,lakini kama ni wa chama cha upinzani huyo hajatumia pesa zetu wala pesa za serikali ni za kwake binafsi so haituhusu sana ni personal issue.
Ila atakapoishika dola kisha akaendelea kufanya hayo hapo tutamlaumu kwa matumizi mabaya ya pesa za walipakodi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha wewe binti ni muongo sana kama kweli una taasisi yako kama unavyodai tuweke wazi ni wapi ipo ili tuje kushuhudia na sio kudanganya hapa...
 
Umetoa ushauri mzuri
Ila kwenye kuwa na sarafu imara itumike mbinu gan Ili kuweka vigingi na sarafu yetu isiwe inayumba kama dela
 
Ndiyo shule za kusomea ujinga hizo.

Brazil waliweka "simplified tax system" walianzia kwenye biashara ndogo, tax zote na tozo zote sijui import, vat, usafi, mabango, zikajumuishwa na kuwa tax moja tu, kiwango kimoja tu kwa bidhaa zote. tena ikafanywa ndogo, kama sikosei, ilifanywa 30% flat rate, inajumuisha kila kitu. Hakuna kutozwa tozo au ushuru wowote baada ya hapo. Hakuna vigezo wala nini.

Kodi moja tu ukiingiza mzigo, unalipa 30% ukitengeneza kiwandani unalipa 30%

Ukiuza dukani 30% hakuna makadirio, kilichouzwa mwaka mzima ndicho unacholipia. Basi wafanyabiashara wenyewe wakaomba wawe wanalipa kila mwezi, kuweka wahasibu wa kila mwaka inawagharimu, wakaambiwa haya.

GDP ya Brazil ilipanda mpaka kufikia ongezeko la 26% kwa mwaka.

India wakaiga hiyo, wakanyanyuka vibaya sana . Hakuna mkwepa kodi hapo.

Ndiyo kina Dubai, wanafanya hivyo hivyo, hakuna mlolongo wa kodi Dubai mpaka imefikia unaambiwa hakuna kodi,
Safi Sana
 
Back
Top Bottom