Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Sifa mbaya ya kuagizwa upeleke ujumbe kwa maneno/kuongea ni kupoteza uhalisia wa ujumbe kisauti,lafudhi na hata husumbua wapokea ujumbe kwa kuhangaika kuijenga taswira ya mtuma ujumbe moja kwa moja.Mama Samia, you are appreciated! But,bring that old chap to the public so that he can greet the mass himself!😂😂😂😂😂
 
Wezi wa kura na wapika matokeo ya uchaguzi ndiyo wenye laana.
Hapana bana! Hao wahuni ndio utaona September 2025 wanakuja kuwarubuni tena eti nao wawe marais,

Nakuhakikishia tutawagonga vilivyo, wewe waache waendele na uhuni wao badala ya kufanya mambo ya maana ili angalau hadi 2025 wawe na pakushika.
 
Taarifa gani zaidi na taarifa wameshatoa, Leo mama Tanga, Mama katoa salam za Rais na kasema watu washikamane, sasa taarifa gani hizo mnazotaka zaidi, kama mpo na taarifa zaidi basi zitolewe. Nawaamini sana Serikali kwa hili kuliko Lissu.
Labda atumbue mtu ndipo tutaelewa!
 
Hii serekali iliyofitinika imekubuhu kwa uongo. Kama Rais ni mzima ajitokeze watu wamuone kwani ugumu hapo uko wapi? Wanachofanya ni kudanganya wapumbavu wachache ambao hawajui kuhoji na ambao hawawezi kutenganisha kati ya ukweli na uongo.
Mi nasema kila jambo huwa na mwanzo pia lazima mwisho uwepo pia kama mwanadamu anazaliwa na mwisho anakufa hakuna atakaye ishi milele hivyo hata lifichwe lisifichwe bado tutajua ukweli ni UPI muda tuu ndio unachelewa
 
Hapana bana! Hao wahuni ndio utaona September 2025 wanakuja kuwarubuni tena eti nao wawe marais,

Nakuhakikishia tutawagonga vilivyo, wewe waache waendele na uhuni wao badala ya kufanya mambo ya maana ili angalau hadi 2025 wawe na pakushika.
Ulaji unatokomea kwa kasi ya ajabu. ''Lake Zone'' hawaamini kinachotokea na wamepigwa na butwaa. Walishapanga mpaka 2025 ni muda mrefu sana na ukifika huo wakati katiba itabadishwa ili waendelee kuula. Unajua nini? Magufuli siyo mbaya sana kama inavyoweza kuonekana. Tatizo kubwa liko kwenu wapambe tumbo. Mme-take advantage ya udhaifu wake wa kupenda kuabudiwa na kuambiwa maneno anayopenda kusikia tu, ku-terrorize nchi yetu kwa maslahi yenu. Hazina wapo, Ikulu wapo, TISS wamejazana, Mahakama kuu wapo bila kusahau UVCCM. Tamati iko ukingoni.
 
Vipi mhuni wenu anakuja kugombea tena 2025?
 
Ukitaka kujua kuwa wewe si wa muhimu ktk chama na serikali ni kipindi hiki ambacho hata wewe hujui Rais yuko wapi na ni mwanaccm kindakindaki au hata kiongozi mkubwa tuu kwenye serikali.
 
Hapana bana! Hao wahuni ndio utaona September 2025 wanakuja kuwarubuni tena eti nao wawe marais,

Nakuhakikishia tutawagonga vilivyo, wewe waache waendele na uhuni wao badala ya kufanya mambo ya maana ili angalau hadi 2025 wawe na pakushika.
Wahuni ni wanao badilisha matokeo ya uchaguzi.
 
Jiwe anatoa tu salamu za mbali kama za sikukuu kweli maisha yanaenda kasi sana!
 
Ujue tulizoea show za makamela kila sehemu akienda hata akiwa nyumbani kwao anaapishia na kuteua makamela yanaonyesha akienda kusali kamela akipita njiani kamela live sasa hii ndo inatupa maswali mbona kimyaaaa huko wapi?
 
Back
Top Bottom