Mama Samia "Ukitaka Kutuweza Kabisaa, Tuongeze Chochote Mei Mosi Ijayo" Utakua Umeua Kabisa

Mama Samia "Ukitaka Kutuweza Kabisaa, Tuongeze Chochote Mei Mosi Ijayo" Utakua Umeua Kabisa

Huwa najiuliza kuwa hata kama mshahara utaongezewa elfu 50, kama huwezi kuweka akiba.. hiyo nyongeza ni bure. Hata kama utaongezwa kwa 100%, kama mtumishi hawezi kuweka akiba au kufanya biashara.. HIYO NYONGEZA NI SAWA NA BURE. Tuwe na utamaduni wa kuweka akiba kwa kubana matumizi, na kufanya biashara. Watu wengi wanafanya matumizi ya ovyo, kila siku mshahara hautoshi.
 
Wala hatumalizi kwa chochote! Kimsingi anatakiwa aongeze mishahara na pia apandishe wafanyakazi madaraja yao kwa mujibu wa sheria na taratibu za kazi. Maana bosi wake alitufanyia mambo ya hovyo sana kwa miaka yake yote aliyo tawala.

Hivyo kwa sababu yeye ni Mama na hajajaliwa ile roho ya kishetani kama ya yule Hayati, basi ni vyema akatutendea haki.
 
Acheni kazi Kama mnaona pesa mnayolipwa Ni ndogo..

Wasomi wapo wengi mtaani wanazitamani hizo ajira hata kwa nusu ya pesa mnayolipwa ninyi
Dogo pambana na hali yako. Usijigeuze kuwa fisi kwa kutamani mkono wa binadamu anapo tembea! Hata kama huyo jamaa ataacha kazi leo, ataajiriwa mtu mwingine kabisa! Na hautokuwa wewe.
 
Matatizo ya nchi hii sio wafanyakaqzi wa serikali kuongezewa mshahara
Kumbuka private sectors zimeajiri watu wengi kuliko serikali
Kuna matatizo mengi Sana zaidi ya kuongeza mishahara
Nyinyi Mataga bado mnafikiri Rais ni yule Mfalme Juha! Poleni sana. Kuanzia sasa tunategemea mishahara kupanda na pia madaraja kubadilika kwa wakati. Hizo kauli kwa sasa naweza kusema ni ZILIPENDWA!

Eti "Subirini kwanza ninunue ndege" Ndege Bongo!! Hovyo kabisa.
 
Dogo pambana na hali yako. Usijigeuze kuwa fisi kwa kutamani mkono wa binadamu anapo tembea! Hata kama huyo jamaa ataacha kazi leo, ataajiriwa mtu mwingine kabisa! Na hautokuwa wewe.
Ungesoma vizuri nilichoandika nadhani usingejibu kama uliyojibu!! Au ulisahau kuvaa miwani yako ya kusomea.??
 
Asipofanya unayoyataka utaanza kumtukana na mama...[emoji16][emoji16]

Tulimuimbia mapambio JPM mwanzoni kisha baadae tukasema bora ya JK.


Nyinyi Mataga bado mnafikiri Rais ni yule Mfalme Juha! Poleni sana. Kuanzia sasa tunategemea mishahara kupanda na pia madaraja kubadilika kwa wakati. Hizo kauli kwa sasa naweza kusema ni ZILIPENDWA!

Eti "Subirini kwanza ninunue ndege" Ndege Bongo!! Hovyo kabisa.
 
Nyinyi Mataga bado mnafikiri Rais ni yule Mfalme Juha! Poleni sana. Kuanzia sasa tunategemea mishahara kupanda na pia madaraja kubadilika kwa wakati. Hizo kauli kwa sasa naweza kusema ni ZILIPENDWA!

Eti "Subirini kwanza ninunue ndege" Ndege Bongo!! Hovyo kabisa.
Brother ukweli ulio wazi matatizo ya nchi hii sio wafanyakazi wa serikali kuongezewa mishahara.
 
Acheni kazi Kama mnaona pesa mnayolipwa Ni ndogo..

Wasomi wapo wengi mtaani wanazitamani hizo ajira hata kwa nusu ya pesa mnayolipwa ninyi
Halafu wakizipata izo ajira wataanza na wao kuandamana pesa ndogo tuongezewe mshahara......
 
Salaam Mama

Umeanza vizuri sana Mama.

Naomba nisikuchoshe .

Sasa ukitaka kutupatia kabisa, kabisakabisa, fanya jambo Mei Mosi ijayo kwa Asilimia yoyote tu ile.

Hapo utakua umeua kabisa.

Asante sana Mama
IMG-20210406-WA0086.jpg
 
Brother ukweli ulio wazi matatizo ya nchi hii sio wafanyakazi wa serikali kuongezewa mishahara.
Pamoja na hayo mengine uyajuayo na hili nalo ni sehemu ya tatizo nchini!wafanya biashara nao wanalalamika kodi haziko fair,sasa kwanini msiache biashara mkalime!Ukisema private Wana ajili zaidi kuliko serikalini basi huo utakuwa ni wivu tu kwa kuona kama vile maslahi yakiwa mazuri kwao wanafaidika basi acha private njoo serikalini
 
Asipofanya unayoyataka utaanza kumtukana na mama...[emoji16][emoji16]

Tulimuimbia mapambio JPM mwanzoni kisha baadae tukasema bora ya JK.
Nakuhakikishia! Huyu Mama nae ni binadamu tu kama sisi. Ila kumfikia Magufuli, basi anatakiwa awe na hulka kama za madikteta akina PK na MU7! Jambo ambalo linamuonesha kukosa hata dalili moja tu.

Miaka 6 hakuna kupanda daraja kama mtumishi wa Serikali, halafu nione yeye ni nafuu zaidi kuliko huyu wa sasa! Ikitokea hivyo, basi nitasema huyu nae ni kama bosi wake tu! Ila sitegemei jambo hilo kutokea.
 
Mama atasema neno moja tu na JPM atapotea masikioni mwa watu maana haki za watumishi zilipigwa vice spanner hakuna kupumua alikuwa akiongea tu unapata BP Kama vile kesho kibarua hakuna
 
Back
Top Bottom