Mama Samia "Ukitaka Kutuweza Kabisaa, Tuongeze Chochote Mei Mosi Ijayo" Utakua Umeua Kabisa

Mama Samia "Ukitaka Kutuweza Kabisaa, Tuongeze Chochote Mei Mosi Ijayo" Utakua Umeua Kabisa

kwel mama afanye kitu bila ivyo n hatari hakuna meimosi itakayokua inasubiriwa kwa ham na watumishi kama hii.. mei mos hii itakua zaid ya azimio la arusha
achen nibebe lawama za jiwe[emoji57]
JamiiForums440379430_360x207.jpg
 
Ataongeza kimya kimya na daraja mtapandishwa kimya kimya
 
Salaam Mama

Umeanza vizuri sana Mama.

Naomba nisikuchoshe .

Sasa Mama ukitaka kutupatia kabisa, kabisakabisa, fanya jambo Mei Mosi ijayo kwa Asilimia yoyote tu ile.

Hapo utakua umeua kabisa.

Asante sana Mama
60% ni wabovu, Walimu ni wengi zaidi na hawana msimamo.
Mama kuna mambo mengi muhimu ya kufanya usiongeze mshahara, hawataki wakalime.
 
Back
Top Bottom