Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,565
Dogo pambana na hali yako. Usijigeuze kuwa fisi kwa kutamani mkono wa binadamu anapo tembea! Hata kama huyo jamaa ataacha kazi leo, ataajiriwa mtu mwingine kabisa! Na hautokuwa wewe.Acheni kazi Kama mnaona pesa mnayolipwa Ni ndogo..
Wasomi wapo wengi mtaani wanazitamani hizo ajira hata kwa nusu ya pesa mnayolipwa ninyi
Nyinyi Mataga bado mnafikiri Rais ni yule Mfalme Juha! Poleni sana. Kuanzia sasa tunategemea mishahara kupanda na pia madaraja kubadilika kwa wakati. Hizo kauli kwa sasa naweza kusema ni ZILIPENDWA!Matatizo ya nchi hii sio wafanyakaqzi wa serikali kuongezewa mshahara
Kumbuka private sectors zimeajiri watu wengi kuliko serikali
Kuna matatizo mengi Sana zaidi ya kuongeza mishahara
Ungesoma vizuri nilichoandika nadhani usingejibu kama uliyojibu!! Au ulisahau kuvaa miwani yako ya kusomea.??Dogo pambana na hali yako. Usijigeuze kuwa fisi kwa kutamani mkono wa binadamu anapo tembea! Hata kama huyo jamaa ataacha kazi leo, ataajiriwa mtu mwingine kabisa! Na hautokuwa wewe.
Alijaa kibri sana katika hili eneo.Acheni kazi Kama mnaona pesa mnayolipwa Ni ndogo..
Wasomi wapo wengi mtaani wanazitamani hizo ajira hata kwa nusu ya pesa mnayolipwa ninyi
Nyinyi Mataga bado mnafikiri Rais ni yule Mfalme Juha! Poleni sana. Kuanzia sasa tunategemea mishahara kupanda na pia madaraja kubadilika kwa wakati. Hizo kauli kwa sasa naweza kusema ni ZILIPENDWA!
Eti "Subirini kwanza ninunue ndege" Ndege Bongo!! Hovyo kabisa.
Brother ukweli ulio wazi matatizo ya nchi hii sio wafanyakazi wa serikali kuongezewa mishahara.Nyinyi Mataga bado mnafikiri Rais ni yule Mfalme Juha! Poleni sana. Kuanzia sasa tunategemea mishahara kupanda na pia madaraja kubadilika kwa wakati. Hizo kauli kwa sasa naweza kusema ni ZILIPENDWA!
Eti "Subirini kwanza ninunue ndege" Ndege Bongo!! Hovyo kabisa.
Asipofanya unayoyataka utaanza kumtukana na mama...[emoji16][emoji16]
Tulimuimbia mapambio JPM mwanzoni kisha baadae tukasema bora ya JK.
Halafu wakizipata izo ajira wataanza na wao kuandamana pesa ndogo tuongezewe mshahara......Acheni kazi Kama mnaona pesa mnayolipwa Ni ndogo..
Wasomi wapo wengi mtaani wanazitamani hizo ajira hata kwa nusu ya pesa mnayolipwa ninyi
Salaam Mama
Umeanza vizuri sana Mama.
Naomba nisikuchoshe .
Sasa ukitaka kutupatia kabisa, kabisakabisa, fanya jambo Mei Mosi ijayo kwa Asilimia yoyote tu ile.
Hapo utakua umeua kabisa.
Asante sana Mama
Pamoja na hayo mengine uyajuayo na hili nalo ni sehemu ya tatizo nchini!wafanya biashara nao wanalalamika kodi haziko fair,sasa kwanini msiache biashara mkalime!Ukisema private Wana ajili zaidi kuliko serikalini basi huo utakuwa ni wivu tu kwa kuona kama vile maslahi yakiwa mazuri kwao wanafaidika basi acha private njoo serikaliniBrother ukweli ulio wazi matatizo ya nchi hii sio wafanyakazi wa serikali kuongezewa mishahara.
Nakuhakikishia! Huyu Mama nae ni binadamu tu kama sisi. Ila kumfikia Magufuli, basi anatakiwa awe na hulka kama za madikteta akina PK na MU7! Jambo ambalo linamuonesha kukosa hata dalili moja tu.Asipofanya unayoyataka utaanza kumtukana na mama...[emoji16][emoji16]
Tulimuimbia mapambio JPM mwanzoni kisha baadae tukasema bora ya JK.