Pinkman
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 712
- 1,571
kwahiyo mwanangu umetuita vilaza sio?Robert Heriel Mtibeli ametumia akili nyingi Sana kuwqsilisha ujumbe. Vilaza wanadhani amensema mama yake mzazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo mwanangu umetuita vilaza sio?Robert Heriel Mtibeli ametumia akili nyingi Sana kuwqsilisha ujumbe. Vilaza wanadhani amensema mama yake mzazi
Neema ya BWANA yatutoshaNikope milioni 20 hapo Mkuu
Jirani yangu mmoja hapo dsm, alikuwa hakosi shughuli, siku hiyo kwenye kipaimara naye yuko kwenye kucheza pale giza giza limeanza.
Kijana mmoja alimkata robo la shingo akamtupa huko.
Alivaa pop la shingo.
Mkataze huyo mama yako na asiposikia mtengenezee mazingira wamchape makofi pengine atatuliza mzuka.
Neema ya BWANA yatutosha
Mama anatuchezea michezo michafu. Tulimheshinu lkn anakoelekea sasa hatukubali maana tunekuwa wakubwa hatudanganyiki kwa pipi za kulamba
Kipindi flani naishi maeneo ya uswahilini kuna mmama mswahili alifanikiwa kupata bwana mwenye hela aisee kikipigwa kigoma alikuwa anakuja na Harrier tako la nyani wamama wanayakata huku wamelishika na yeye akiwemoo...anamwaga radhi na hela balaa hapo sometimes wanacheza wamebaki na vichupi wengine uchi ndo nikakumbuka msemo wa UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE.. PIA MAMA NI MAMA TU. hata kama anaenda kumwaga radhi mtaani ndo ashakuwa mama japo inauma.
wewe unasema kumwaga radhi... kuna wenzio mama zao wanaleta vijana wadogoo ndani ya nyumba like kila siku acha tu mkuu...!! mitihani ni mingi dunianiSio mama yangu huyo. Alibadilishiwa mtoto akiwa Labor.
Siwezi kuwa na Mama kama huyo.
wewe unasema kumwaga radhi... kuna wenzio mama zao wanaleta vijana wadogoo ndani ya nyumba like kila siku acha tu mkuu...!! mitihani ni mingi duniani
Mama gani anakuja kalewa usiku wa manane atujala anazima umeme eti utaisha , tunalia gizani kama tola tunameza na kononokono , mama gani huyo ?
Asante kwa Bandiko refu Mkuu.
Mama, Baba ni cheo tu, Kinaweza kuvuliwa mda wwote.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hizo ni dalili mamaako anaishi kwenye mazingira magumu na uswahilini.
Mswahili, masikini hawawezi kukaa chungu kimoja na kiumbe anayeitwa ustaarabu...
Tola kafa katuachia mama chapombeMama mke wa tola