Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Chuma hiki hapaπ π
Na hivi hana shingo..
Jana kwenye watsap nilipost meme ya huyu mama sasa kuna sister mmoja mshkaji wangu akaiona akanitext like see hapo chini [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2627954
Kishakwambia kila kitu, ni juu yako sasa kui'process' hiyo habari kadri utakavyoona inafaa!Sasa mkuu si bora usingeweka huu uzi? Mana kila kitu unasema tusubiri π
Hapana nili post kwenye status yanguKumbe ni wewe ulipost hiyo meme...!!!
Hilo grop tuko wote humo ujue[emoji23]
Natumaini ndiye Sinyali mwenyewe huyo!
Na usiku mbu na joto linawasubiri hahaHahahaha
Nusu ya Wakazi wa Jiji la Dar es salaam huwa machizi mchana kutokana na mihangaiko ya kutafuta rizki na adha ya usafiri
pole sana mleta thread
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Jana kwenye watsap status yangu nilipost meme ya huyu mama sasa kuna sister mmoja mshkaji wangu akaiona akanitext like see hapo chini ππππ
View attachment 2627954
Chawa wapo kazini usizingatie sana.Ndio yupi Sasa?
Tajiri ya Kongo
Nakuona mtoto wa mama sinyaliNampa vizuri Heshima nyingi kwake πͺπͺπͺ
π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘π«‘
Nomaa sana .. kama mtoa mada ni mkwel basi pesa ni nyoko maana mtu ambae ni kawaida kumiliki m500,600 akanye kwa wadau wake sio mchezoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£