Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Inaonekana Huyu mama zamani alikuwa anazo ila saiv naona kafilisika kisa mikopo kausha damu na TRA..maana naona leo Clouds amehojiwa anaomba asaidiwe apelekwe mlongazila aweke Pluto ili apungue.. na kikubwa hana pesa za kumlipa mwanae ada chuo na mtoto yuko nyumbani hajaenda chuo, na kufika hadi hatua ya kulia kuwa mzazi mwenzie hampatii support ya kumsomesha mtoto. Huyu mama saiv inaonekana anapitia magumu sana.
 
Back
Top Bottom