Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Amesema jana clouds ..amesema ukiwa na shida yoyot ile kariakoo mtafte ...nikajua huyu Mafia wa dili zote tata..ila mbona mropokaji? Ndo maana basi ccm walimshona!pole zake...ila nimempenda hakati tamaa hata kidogo
 
Sasa kama angejisaidia aibu si yake hiyo 😀
Kama umeshawahi kufanya biashara hilo sio jambo geni! Watu hutoleana mikwara mizito zaidi ya hiyo ila wakishamaliza kulipana pesa tu ...maisha huendelea kama kawaida na utawakuta wanacheka na kupiga story pamoja. Hiyo ndio raha ya biashara
 
Jamani jamani.
Kesi ya mbuzi na tumbili iko kwa mheshimiwa jaji nyani.
 
Namjua vizuri sana huyu mama zaidi ya kuuza vipodozi vya haramu ,hana kitu yoyote uyo!!

Anawadanganya danganya watu kwenye social media.

Yaani
Nimeshangaa watu wamecatch feelings balaa
Hawamjui vyema na hawafanyi research pia.
 
Matajiri wa kariakoo unawajua?

JITAHIDI utofautishe matajiri na watu maarufu

Kuna watu hela zao wanazifinya kimya kimya hawana kelele
Hakuna tajiri anaweza kufinya hela,hela uwa zinasema zenyewe hazihitaji kusemewa na wala haihitaji kumjua mtu kwa sura ndio ujue ana hela na kama umaarufu lazima atakuwa nao kutokana hela zake.
Huyo mama yenu mnayelazimisha aonekane ni tajiri ukimwangalia tu huoni dalili ya utajiri,tajiri hawezi kukoboka sura kwa kupaka vipodozi wanavyopaka madada poa.
 

Pole
Tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…