Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Tajiri adhulumiwe halafu aende dukani kwa mdeni wake eti sijui atishie kunya! Sasa huyo tajiri au kichaa!
Ebu jaribu kumdhulumu tajiri uone kama atakufuata dukani kwako! Wewe ndiyo utamtafuta na fuko la hela za kumlipa na fidia juu.
 
Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne.

Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila Sinyali ni Sinyali kweli hana shida ndogo ndogo.

Siju majumba, magari ya kifahari, huyo kushika milion 300, sijui millioni 600 kwake kawaida tu mbona, nyie endeleni kumwona meme ni li boss hilo jitu.

Kuna kipindi alitukana CCM wadau niishie hapa...akajifanya hawajui, walimshona vizuri akapendeza[emoji1][emoji1][emoji1]hana hamu na siasa hadi leo.

Siwezi kuweka full nondo hapa kwa sababu ya heshima ya Sinyali, pia boss wangu Davis Mosha nawakubali.

Sinyali tajiri born town watu wanamuona meme sasa hivi, wangemjua vizuri wangesema hadi wanaume kawapita roho ya ujasiri.

Sinyali we boss kubwa mama la kujiamini, huyo mama ukimzingua jua anakuzengua mara mia 10,000,000 hahhaa.

Wadau bye bwana nawahi nawahi bajaji za Mwenge natoka Posta, baadae ashampoo hapa.
Ukonunuliwa bia na supu ya kongoro una Anza kuabudu watu!!
 
Mama wa "pointment"
"Naomba namba nije chemba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mchaga km mchaga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa tajiri akashindwa kutumia vipodoz vya kitajiri visivyoharibu ngozi,akenda tumia mikorogo fake ya mahomen?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kupatwa kwa utajiri lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza anavaa madela ya buku 9 ya hapo kkoo, utajiri upiiii tenaa???
 
Mama wa "pointment"
"Naomba namba nije chemba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mchaga km mchaga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toto la kiboriloni hilo. Hakuna mtoto wa kike aliezaliwa na kukulia apo akaolewa harusi😂😂😂
 
Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne.

Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila Sinyali ni Sinyali kweli hana shida ndogo ndogo.

Siju majumba, magari ya kifahari, huyo kushika milion 300, sijui millioni 600 kwake kawaida tu mbona, nyie endeleni kumwona meme ni li boss hilo jitu.

Kuna kipindi alitukana CCM wadau niishie hapa...akajifanya hawajui, walimshona vizuri akapendeza😄😄😄hana hamu na siasa hadi leo.

Siwezi kuweka full nondo hapa kwa sababu ya heshima ya Sinyali, pia boss wangu Davis Mosha nawakubali.

Sinyali tajiri born town watu wanamuona meme sasa hivi, wangemjua vizuri wangesema hadi wanaume kawapita roho ya ujasiri.

Sinyali we boss kubwa mama la kujiamini, huyo mama ukimzingua jua anakuzengua mara mia 10,000,000 hahhaa.

Wadau bye bwana nawahi nawahi bajaji za Mwenge natoka Posta, baadae ashampoo hapa.

Hawa shemeji bwana....boss wake amerudiana na mkewe? Maana hizi story za udaku unaweza kujua zaidi
 
Huyu mama nachompendea.. ni jinsi anavyojua kujipenda kwenye gari zake za kutembelea.

Huwa haendeshagi gari za kinyongee.. na huwa mpya mpya tu. Nahisi kila mwaka huwa anabadili gari.. maana kila namba mpya inayotoka unakuta mama sinyaa ana mchuma wenye hiyo namba

Acheni uongo, mbona analia ada ya mto Hana.
 
Toto la kiboriloni hilo. Hakuna mtoto wa kike aliezaliwa na kukulia apo akaolewa harusi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?? Huyu mama nikikaa nae kwa masaa tyuuh, tunawehukwa woteeee
 
Acheni uongo, mbona analia ada ya mto Hana.

Uongo wa nini ? Kwamba hatembelei magari mazuri.

Nenda dukani kwake kariakoo tazama gari anazokuja nazo kazini kwake kila siku asubuhi. Ama anavyoondoka jioni mtazame

Watu wanaofanya mishe zao kariakoo wanamjua huyu mama. Achana na maneno yake ya kisaniii. Amejishusha kwa ujanja tu kwenye media.. wafanyabiashara ni wajanja wajanja.

Mtu wa kulia ada ya mtoto anaweza hata kupanga fremu kariakoo kweli ? Fremu zake tu kariakoo unajua kodi kwa mwezi zinalipiwa bei gani?

Mtu wa kulia ada ya mtoto TRA wanaweza mdai kodi mamilioni kibao?
 
Mimi ni Mjasiriamali wa vipodozi na niko Kariakoo kwa muda wa miaka 20 na zaidi, kero tunazokutana nazo hapa Kariakoo ni nyingi sana na zinavunja moyo, kero ya kwanza hatufanyi biashara kwasababu ya (TRA), Wateja sasa hivi wananunua mizigo nje ya Kariakoo wanaogopa TRA, kwa mana hiyo sisi tunashinda tu vibarazani maana hakuna biashara wala wateja"

"Watu wa TRA na watu wa Taka wanatuumiza sana, mimi mpaka nilishapiganaga na vitoto vya TRA ndiyo maana nilivyosikia Waziri Mkuu anakuja nikasema leo lazima niende nikatoe nyongo iliyonikaa kwa muda mrefu, nilivyoenda pale mkutanoni bahati nzuri Waziri Mkuu akaniita nikaenda kutoa baadhi ya kero zangu, nasema baadhi kwasababu bado sijamaliza nina mengi ya kumwambia Waziri Mkuu, bado naitafuta namba yake"

"Tumefirisika hatuna kitu, mimi nilikuwa na pesa yani hapa sina kitu, ili kujisukuma inatubidi tujiingize kwenye mikopo ya "kausha damu" ambayo kwa mimi binafsi mkopo wa "kausha damu" umevunja ndoa yangu, nimeachana na mume wangu kwasababu ya "kausha damu", "kausha damu" imeniharibu sura, sikuwa hivi, mimi ni natural sijajichubua hata kidogo hii ni ngozi ya Kichaga Og, ila kulia kila saa na mikopo ya kausha ndiyo imeniunguza sura"

"Hapa nimepungua sana watu wanaonijua wanashangaa sana, nina kg 198 ila nilikuwa na kg 210, natamani sana kupungua, natamani niwekewe puto hata sasa hivi, Peter Msechu siyo wa kuwekewa puto, mimi ndio natakiwa niwekewe hilo puto.

"Hakuna biashara Kariakoo, TRA wameua biashara yaani tumekaa tu lakini biashara hakuna, wateja wanaokuja wananunua kopo la mafunzo elfu 10, kwa siku unatoka na elfu 20 ya mauzo, hapo unalipa kodi, TRA na Taka, kuna biashara hapo?, zamani nilikuwa nauza milioni moja, moja na nusu mpaka milioni mbili kwa siku, nyumbani kwetu mimi ndio kama Bhakresa, ndugu wote wananitazama mimi lakini awamu hii nimeshindwa hata kuwapeleka watoto shule".

Aidha Bi Sinya amesema anavutiwa sana na Mbosso, kila anaposikiliza wimbo wa Mbosso moyo wake unakwatuka anajisikia raha burudani, hadi kufikia sasa hivi mama huyo anaendelea kujizoea maelfu ya followers huko Instagram, ambapo jana alikuwa na followers elfu mbili pekee na hadi kufikia leo sasa hivi ana followers elfu 15 na zaidi.

Credit: FB

FB_IMG_1684588468258.jpg
 
Back
Top Bottom