Mama sio Chadema ni Watanzania wamechoka wanataka Haki zao

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mama Samia anatakiwa kujiuliza kwanini 2021-2022 hali ilikuwa swari. Tatizo ni sera za ufisaji, ruhswa kuongezeka , utekaji kuongezeka na wizi wa kura 2024. Chadema ni wawakilishi tu lakini kuna mamilioni ya watu nyuma yao. Lakini sio chadema tu tena watu wote wanaona sasa viongozi wa dini mashirika ya kimataifa na haki, wastaafu wetu. Kila mtu mwenye busara anaona ukweli. Huwezi kudhibiti mitandao Mama huwezi. Kikubwa fanya mazuri na tenda haki

Mama sio Chadema ni Watanzania wamechoka wanataka Haki zao
 
👉Inferiority complex

Yule jamaa hajiamini kabisa. Inaonekana kila akiiwaza hata usingizi unakata.
 
Mwambie kabisa hata wana sisiemu pia wamo wanazungumzia chinichini
 
Mama Samia anatakiwa kujiuliza kwanini 2021-2022 hali ilikuwa swari. Tatizo ni sera za ufisaji, ruhswa kuongezeka , utekaji kuongezeka na wizi wa kura 2024. Chadema ni wawakilishi tu lakini kuna mamilioni ya watu nyuma yao. Lakini sio chadema tu tena watu wote wanaona sasa viongozi wa dini mashirika ya kimataifa na haki, wastaafu wetu. Kila mtu mwenye busara anaona ukweli. Huwezi kudhibiti mitandao Mama huwezi. Kikubwa fanya mazuri na tenda haki

Mama sio Chadema ni Watanzania wamechoka wanataka Haki zao
Maua Mkuu👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸🌸🌸💐💐🌸💐💐💐
 
Back
Top Bottom