Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana

1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi

Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
 
Miradi yote ya kimkakati kaikamilisha kwa muda muafaka. Jana .jumapili mradi mwingine mkubwa wa kimkakati pale kidunda kuongea vizuri sana msemaji wa serikal.mnyonge mnyongen lakin haki yake mpeni kafanya makubwa mazuri.yote ya magufuli kayakamilisha kwa 100% huwa nachukia sana mtu anayebeza.mazuri yanayoonekana na yanafanya akiwa anaona
 
Kweli watanganyika tunawabeba wazanzibari vichwani ni mzigo kweli tuutwae chini sasa.
 
Miradi yote ya kimkakati kaikamilisha kwa muda muafaka. Jana .jumapili mradi mwingine mkubwa wa kimkakati pale kidunda kuongea vizuri sana msemaji wa serikal.mnyonge mnyongen lakin haki yake mpeni kafanya makubwa mazuri.yote ya magufuli kayakamilisha kwa 100% huwa nachukia sana mtu anayebeza.mazuri yanayoonekana na yanafanya akiwa anaona
Akili yako kama tu ya huyo raisi fake.
 
Sisi Wa TZ wenyewe tuna matatizo kuliko huyo Samia mwenye

Mimi nitaheshimu mtu akisema samia hafai haya sawa hafai

Tuambie wewe yupi anafaa, Eti unaonesha mtu uayejisikia wewe anafaa unajua ni vituko.!

Ni kheri samia asifae ila tujijenge sisi wenyewe kuwa kitu kinachofaa

WaTz bado tuna damu ya udalali na utapeli sana na ndio maana ufisadi umekithiri

Sishangai ilikuwa njia kuu na Soko la watumwa hapa ndio maana roho ya udalali inatutafuna sio kawaida hii
 
Miradi yote ya kimkakati kaikamilisha kwa muda muafaka. Jana .jumapili mradi mwingine mkubwa wa kimkakati pale kidunda kuongea vizuri sana msemaji wa serikal.mnyonge mnyongen lakin haki yake mpeni kafanya makubwa mazuri.yote ya magufuli kayakamilisha kwa 100% huwa nachukia sana mtu anayebeza.mazuri yanayoonekana na yanafanya akiwa anaona
Umejiunga kuongeza Nguvu!
 
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana

1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi

Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
katika uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini, Oct 29.2025, kwa mara ya kwanza Dr.Samia Suluhu Hassan awa Rais wa kwanza mwanamke kuwashinda wanaume kwa kishindo kikuu uchaguzi mkuu huo.

wafuata mkumbo na mercenaries wajawa mihemko useless 🐒
 
Kama nchi hatujawahi kudharaulika kimataifa kama wakati huu, Tanzania ilikuwa kitovu cha Amani, mtetezi wa wanyonge, mfano wa demokrasia inayokua kwa kasi, nchi ya watu wapole, leo hii Tanzania hii siyo ile tena.
 
katika uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini, Oct 29.2025, kwa mara ya kwanza Dr.Samia Suluhu Hassan awa Rais wa kwanza mwanamke kuwashinda wanaume kwa kishindo kikuu uchaguzi mkuu huo.

wafuata mkumbo na mercenaries wajawa mihemko useless 🐒
Huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, Huwezi kuwa Mwanasiasa,mtumishi wa Mungu na Mfanyabiashara kwa wakati mmoja, ukitokea kuwa hivyo wewe ni mtu wa mwilini, wala kweli haimo ndani yako kwa sababu haijawahi kuwemo kwa kuwa wewe ni wa shetani, jitathmini, tubu na uchukue hatua kabla haujafika ule mwisho halisi utakapolia na kusaga meno wala hakuna atakayekusikiliza kwa kuwa kilio chako kitakuwa ni kelele.
 
Gentleman,
ni kwa Neema na Baraka za Mungu hayo yote yanafanyika kikamilifu sana. Nayaweza yote kwa yeye anitiae nguvu.

Na tafadhali usimdhihaki na kumdhalilisha askofu wa mchongo Emmaus Bandekile Mwamakula wa chadema kihivyo gentleman🤣

Tuliza mihemko ya kipepo tafadhali gentleman ikiwa uko pointless 🐒
 
Back
Top Bottom