Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

Kwa sasa ningekushauri tu kujali familia yako na kujali uchumi wa familia yako
Kwa ufupi jenga ukuta mkubwa sana kulinda familia yako ktk kila situation inayokuja mbele, naposema ukuta simaanishi ukuta wa matofari namaanisha ulizi wa familia yako

Namaanisha jitaid familia yako wale wa wakati, wapate muda wa kupumzika na kufurahia kwa wakati, matibabu na kalo za shule za watoto vipatikane kwa wakat bas

Ivyo ndo vya muhimu kwa sasa ukiangaika na haya ya huyu mama kizimkazi na serikal yake utajiumiza bure na utakosa aman ya moyo
Bado miaka 4 ukilalamika utakufa mapema utamuacha anakula kodi zetu
 
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana

1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi

Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Hivi hii nchi imekosa kabisa watu wa kufanya internal job?
 
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana

1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi

Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Umemushirikisha mwashambwa na choice variable?Maana na mama yao huwaambii kitu
 
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana

1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi

Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Mkuu hilo halina mjadala!
 
Siku anateuliwa Vice President alikataa. Ghalib Bilal, former VP, akamwambia kubali, you can do it. Bilal was dufus as VP, dufus in retirement. Sijui kafa sijui yuko wapi. A total bumpkin goofball.

Kwa hiyo Bilal akamwambia a monkey can do these presidential jobs in Tanzania, I did it. Akakubali.

Lakini Samia hakuwahi kuomba kazi ya Urais. She never dreamed she could do it in her wildest imaginations. Alijua hawezi. Kosa ni la Pombe Magufuli kumteua na sisi wote kuamini yeyote anaweza kuwa chochote.
 
Kama nchi hatujawahi kudharaulika kimataifa kama wakati huu, Tanzania ilikuwa kitovu cha Amani, mtetezi wa wanyonge, mfano wa demokrasia inayokua kwa kasi, nchi ya watu wapole, leo hii Tanzania hii siyo ile tena.
Chadema mnajitahidi sana kuharibu hizo sifa ila hamtafanikiwa.
 
Siku anateuliwa Vice President alikataa. Ghalib Bilal, former VP, akamwambia kubali, you can do it. Bilal was dufus as VP, dufus in retirement. Sijui kafa sijui yuko wapi. A total bumpkin goofball.

Kwa hiyo Bilal akamwambia a monkey can do these presidential jobs in Tanzania, I did it. Akakubali.

Lakini Samia hakuwahi kuomba kazi ya Urais. She never dreamed she could do it in her wildest imaginations. Alijua hawezi. Kosa ni la Pombe Magufuli kumteua na sisi wote kuamini yeyote anaweza kuwa chochote.
Ukiachana na huu upuuzi ulioandika hapa kuna nini wewe umelifanyia Taifa lako.
 
Ukiachana na huu upuuzi ulioandika hapa kuna nini wewe umelifanyia Taifa lako.
Mpuuzi
Uelewa wake sasa ndo majanga zaidi, unajiuliza alifikaje fikaje nafasi za juu hivyo...ukiachilia mbali uchafuzi wa 29 oktoba?!.
Kwenye kupita hapo alipitishwa na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Kufika hapo ni kwa kurithi nafasi hiyo kutokana na Rais Magufuli kufa.
 
Mwenye picha ya 'mzigo' wowote ule atuwekee tafadhali ili usindikizie huu uzi.
20260529_055837.jpg
 
Mpuuzi

Kwenye kupita hapo alipitishwa na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Kufika hapo ni kwa kurithi nafasi hiyo kutokana na Rais Magufuli kufa.
Ngombe kweli wewe.

Nimemuuliza yeye kwa nafasi yake kalifanyia nini hili Taifa.
 
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana

1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi

Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Samia atosha tukutane2030 Jaribu kumwelewesha mtoa mada ukitumia hoja zako katika Uzi huu

 
Back
Top Bottom