Karibu uolewe huku Usukumani uwe shemeji yetuSamia atosha tukutane2030 Jaribu kumwelewesha mtoa mada ukitumia hoja zako katika Uzi huu
Ila wasukuma ongea yote ukimsema Magufuli tu ugomvi unaanza
Kuna deni la taifa halafu kuna mzigo wa taifa.Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Tatizo hujanielewa! Huyo Samia atosha tukutane2030 ametoa upupu tu katika uzi wake. Anasifia mtu ambaye anaiharibu nchi kwa kumlinganisha na Mwamba JPM. Ni kichaa anayeweza kumsifia Samia ujueKaribu uolewe huku Usukumani uwe shemeji yetu
Nilikuwa namjibu yeye huyo kahaba Samia atosha tukutane2030 baadae naona post zimepandana, I'm sorry.Tatizo hujanielewa! Huyo Samia atosha tukutane2030 ametoa upupu tu katika uzi wake. Anasifia mtu ambaye anaiharibu nchi kwa kumlinganisha na Mwamba JPM. Ni kichaa anayeweza kumsifia Samia ujue
Ukiachana na huu upuuzi ulioandika hapa kuna nini wewe umelifanyia Taifa lako.
Kodi kila mtu analipa.Ningekuwa nimeandika upuuzi usingejali kuniuliza nimelifanyia nini Taifa. Toka lini tunaulizana tunayofanya unless nimekihusa ?
Ninalipa mamilioni ya makodi, ambayp kleptocrats wanaiba na kitumia kuishi kwa kufuru
Ninaweka maisha yangu rehani kupinga uhoro wa viongozi wabongu, wezi na wauaji. Na ndo maana nilichoandika kimekugusa mpaka unataka kujua shughuli zangu.
Wewe huzungumzi siasa za dissent, za kuhatatisha maisha. Wewe ni chawa usiyeelewa civic duty za kuipinga serikali batili, dhulumati na ya kiuaji.Kodi kila mtu analipa.
Kuzungumzia mambo ya siasa kila mtu anafanya.
Mpaka hapo hakuna kitu extraordinary umelifanyia Taifa lako,
Huyu mama mtaani hauzikikatika uchaguzi mkuu wa kihistoria nchini, Oct 29.2025, kwa mara ya kwanza Dr.Samia Suluhu Hassan awa Rais wa kwanza mwanamke kuwashinda wanaume kwa kishindo kikuu uchaguzi mkuu huo.
wafuata mkumbo na mercenaries wajawa mihemko useless 🐒
8. Kushuka hadhi Kwa taasisi ya urais.Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
huna haja ya kujiahangaisha gentleman,Huyu mama mtaani hauziki

Samahani nyumbuKama nchi hatujawahi kudharaulika kimataifa kama wakati huu, Tanzania ilikuwa kitovu cha Amani, mtetezi wa wanyonge, mfano wa demokrasia inayokua kwa kasi, nchi ya watu wapole, leo hii Tanzania hii siyo ile tena.
Chini ya uvungu wa Kitanda chako.Samahani nyumbu
"Huko kimataifa ni wapi?"