akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Hivi hii nchi imekosa kabisa watu wa kufanya internal job?Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
mimi pamoja na Mama yako tumechoka mtoto wanguMmemchoka wewe na nani
Umemushirikisha mwashambwa na choice variable?Maana na mama yao huwaambii kituMama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Sawa Babamimi pamoja na Mama yako tumechoka mtoto wangu
Mkuu hilo halina mjadala!Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Nadhani wapo wapoMmemchoka wewe na nani
Chadema mnajitahidi sana kuharibu hizo sifa ila hamtafanikiwa.Kama nchi hatujawahi kudharaulika kimataifa kama wakati huu, Tanzania ilikuwa kitovu cha Amani, mtetezi wa wanyonge, mfano wa demokrasia inayokua kwa kasi, nchi ya watu wapole, leo hii Tanzania hii siyo ile tena.
Ukiachana na huu upuuzi ulioandika hapa kuna nini wewe umelifanyia Taifa lako.Siku anateuliwa Vice President alikataa. Ghalib Bilal, former VP, akamwambia kubali, you can do it. Bilal was dufus as VP, dufus in retirement. Sijui kafa sijui yuko wapi. A total bumpkin goofball.
Kwa hiyo Bilal akamwambia a monkey can do these presidential jobs in Tanzania, I did it. Akakubali.
Lakini Samia hakuwahi kuomba kazi ya Urais. She never dreamed she could do it in her wildest imaginations. Alijua hawezi. Kosa ni la Pombe Magufuli kumteua na sisi wote kuamini yeyote anaweza kuwa chochote.
Na mimi pia. Wewe na nani mnampendaMmemchoka wewe na nani
MpuuziUkiachana na huu upuuzi ulioandika hapa kuna nini wewe umelifanyia Taifa lako.
Kwenye kupita hapo alipitishwa na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Kufika hapo ni kwa kurithi nafasi hiyo kutokana na Rais Magufuli kufa.Uelewa wake sasa ndo majanga zaidi, unajiuliza alifikaje fikaje nafasi za juu hivyo...ukiachilia mbali uchafuzi wa 29 oktoba?!.
Mwenye picha ya 'mzigo' wowote ule atuwekee tafadhali ili usindikizie huu uzi.
Ngombe kweli wewe.Mpuuzi
Kwenye kupita hapo alipitishwa na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Kufika hapo ni kwa kurithi nafasi hiyo kutokana na Rais Magufuli kufa.
Zigo la mavi.Mwenye picha ya 'mzigo' wowote ule atuwekee tafadhali ili usindikizie huu uzi.
Samia atosha tukutane2030 Jaribu kumwelewesha mtoa mada ukitumia hoja zako katika Uzi huuMama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Ila wasukuma ongea yote ukimsema Magufuli tu ugomvi unaanza