James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Huyu upepo wake hautabiriki, tunaweza kucharazwa bakora kwa kufuja rasilimaliView attachment 2900658
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Is it? Karne hii yake ya Daniel kulazimishwa kuabudu miungu yanafanyika?Hiyo Familia ya Kidikteta inayowafanya Wananchi wa Koryo wasujudie Masanamu kwa nguvu na ukikataa unafungwa Jela.
View attachment 2900741
View attachment 2900742View attachment 2900743
Huu Uzi ni uthibitisho tosha kuwa Uzezeta wa Mtanzania ni wa Kulogwa hata akienda Shule haimsaidii.
Kwann mkuu?Ila west wakiamua kumchafua mtuu... kwa maadili ya korea ni ngumu kupata shoga huko
Duuu kazi ipo.Ulikuwepo saiv tunacheza tuu mziki kulingana na beats
Kwa Wasio fahamu Korea ya Kaskazini ilishirikiana sana na Tanzania kwenye vita vya ukombozi Kusini Mwa Africa kwa kutoa mafunzo na silaha kwa wapigania uhuru, wale wa Samsung na Hyundai hawakusaidia kituView attachment 2900658
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un