Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

North Korea, Tanzania, Cuba, China na Urusi ni nchi zilikuwa na viongozi wenye maono tofauti na West na hili liliwafanya kuwa marafiki.
JKN angekuwa hai Tanzania ingekuwa iko BRICS, V. Putin angekuwa ashakuja Tanzania mara kadhaa na tungeona uwakilishi wa Tanzania ktkambo mengi ya kimataifa na China wasingekuwa wanafanya wizi mwingi huu wa leo hapa kwetu. Leo wanafanya kwa kuwa hatujiheshimu na wait hawatuheshimu lakini hao kihistoria ni marafiki zetu dam dam.
 
Mama tuleteeee rafiki yetu haki ya nani nitakuja dar nimuone
 
View attachment 2900658
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Kwa Wasio fahamu Korea ya Kaskazini ilishirikiana sana na Tanzania kwenye vita vya ukombozi Kusini Mwa Africa kwa kutoa mafunzo na silaha kwa wapigania uhuru, wale wa Samsung na Hyundai hawakusaidia kitu
 
Back
Top Bottom