Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

Nunua vitu mpe mwanao achana na mtu anayeliwa mbususu uko na mwanaume mwingine
Tatzo jins ya kumfikia mtoto ndo tatizo yeye hataki wadogo zangu wapajue mtoto wangu anapoishi yeye ana taka niwe natuma hela Tu na Mimi sitaki niwe natuma pesa bila mtoto kujua kama Mimi natuma pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiniambia maitaji ya mtoto nikienda kununua tu nikimwambia nimesha nunua ana kataa kuvipokea kuna vitu nilnunua tokea mwaka juzi mpaka Leo vipo nyumba hataki kupelekewa wala kutuma mtu havifate, yeye ana taka akiniambia begi la shule limeisha na uniform na nguo za kuchezea ni mtumie helaTu nisiende kuvinunua

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta namna, ama uwe unaenda wewe kwa Bibi wa mwanao umpelekee mwenyewe na Kuacha Hela pale pale kwa Bibi .


Bado sioni sababu ya kwann Baby Mama wako aache kuvipokea zaidi ya kutaka hela, ..ni jeuri, uswahili , kwa kuzingatia yeye tayari kaolewa.



Na kwann Pesa uitume kwake yeye ,asoishi na Mwanao ??

Kwann Pesa usiitume kwa Bibi??


ALAFU KUA MAKINI, ANAKUTENGENEZEA MAZINGIRA YA MTOTO KUJUA KWAMBA MAMA YAKE NDO ANAMLEA, NA BABA YAKE KESHAKUFA.



Ivi kweli huwa anamruhusu mtoto kuja kwako??? Au wewe Kumuona ???


Usifanye anavyotaka.

Hatakiwi kukuendesha.
 
Tafuta namna, ama uwe unaenda wewe kwa Bibi wa mwanao umpelekee mwenyewe na Kuacha Hela pale pale kwa Bibi .


Bado sioni sababu ya kwann Baby Mama wako aache kuvipokea zaidi ya kutaka hela, ..ni jeuri, uswahili , kwa kuzingatia yeye tayari kaolewa.



Na kwann Pesa uitume kwake yeye ,asoishi na Mwanao ??

Kwann Pesa usiitume kwa Bibi??


ALAFU KUA MAKINI, ANAKUTENGENEZEA MAZINGIRA YA MTOTO KUJUA KWAMBA MAMA YAKE NDO ANAMLEA, NA BABA YAKE KESHAKUFA.



Ivi kweli huwa anamruhusu mtoto kuja kwako??? Au wewe Kumuona ???


Usifanye anavyotaka.

Hatakiwi kukuendesha.
Yeye ana tengeneza mazingira ya mtoto kujua kuwa Mimi siku muhudumia akiwa mdogo wakati nime muhudumia tokea yuko tumboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli yeye kashaolewa na mwanaume mwingine Mimi na nunua vitu kwaajir ya mtoto wangu lakini yeye hata ana taka niwe natuma pesa ili anunue yeye na Mimi sitaki nataka nimnunulie nguo mwangu nzur nzur maana yeye hajui kuchagua nguo nzur

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto ana umri Gani?
Huwezi mchukua uishi naye?
 
Mtoto ana umri Gani?
Huwezi mchukua uishi naye?
Miaka 8 na mwanangu nimemlea tokea miaka ziro mpaka sasa miaka 8 , yeye ana leta jeuri kwakua mtoto kashakuwa mkubwa mkubwa hasumbui tena ndiyo maana analeta jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Una uhakika mtoto ni wa kwako? Isije ikawa unatumika tu kama sponsor.

2. Kama kaolewa inakuwa ngumu kupokea vitu kutoka kwako maana yeye ana mtoto mwingine kwenye hiyo ndoa. Sasa atabalance vipi furaha za watoto wake ikiwa mmoja ananunuliwa vitu vizuri na wewe halafu yule mtoto mwingine hana?
Kimalezi inaleta ukakasi kuonekana mtoto mmoja ana maisha mazuri na vitu vizuri zaidi ya mwingine ilhai wako nyukba moja na wanalelewa na baba na mama mmoja.

So tafuta tu pesa uwe unampa. Hawezi kukubali kuugawa upendo baina ya watoto wake wawili. Ngumu sana kwa mwanamke hiyo.
 
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye, Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app


Mimi nilijua hata pesa yako haitaki. Kama hutaki vitu vya mtu pesa nayo ni kitu chake, kataa vyote uwe na amani😃😃 sio unakataa nguo, vifaa na bima halafu pesa yake anaitaka😅😅

Inawezekana pia nyie mna kitu chenu hamjaelewana, sasa rudianeni mtunze watoto
 
Pole Sana Mkuu Ishi Nae Kwa Akili Japo Ameolewa Na Jamaa Mwingine Kwa Faida Ya Mtoto.
 
Bro wanawake wengi wanaamini mtoto ni mari yake pekeake we baba ni kama nivuli kama mtoto Anamiaka minane Enda ustawi wa jamii au mahakama ya mwanzo utasaidiwa kama umetoa matumizi tangu akiwa tumboni adi apo.
 
Nikweli yeye kashaolewa na mwanaume mwingine Mimi na nunua vitu kwaajir ya mtoto wangu lakini yeye hata ana taka niwe natuma pesa ili anunue yeye na Mimi sitaki nataka nimnunulie nguo mwangu nzur nzur maana yeye hajui kuchagua nguo nzur

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo hajui kuchagua,bali ananunua za bei cheee.
 
Mtoto ana miaka 8 nikimwambia nataka kumchukua mtoto ana kataa ana akikuwa mkubwa atakuja nyumban kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni mnyonge sana,miaka 8,mtoto ni mkubwa kabisa

Mchukue mwanao.

MF:ningekuwa mwanaume nikizalisha huko,mwanangu akifika miaka 2,namchukua,maana masingo maza wengi wanategemea kupata pesa kupitia mgongo wa watoto wao.....

Siku utaambiwa mwanao kavunja kioo cha gari la watu,inabidi ulipe.
 
Back
Top Bottom