Kwani wewe hujui kwa Bibi yake mtoto c upeleke wewe
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli yeye kashaolewa na mwanaume mwingine Mimi na nunua vitu kwaajir ya mtoto wangu lakini yeye hata ana taka niwe natuma pesa ili anunue yeye na Mimi sitaki nataka nimnunulie nguo mwangu nzur nzur maana yeye hajui kuchagua nguo nzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto ana ishi na mama yake kwaiyo Mimi nikinunua vifaa vya shule na peleka nyumban kwetu ili mtoto aende kuvichukua au natuma mtu apelele sasa yeye hatak ana taka niwe na mtumia pesa tu kuna siku alisema mtoto kapoteza begi la shule pamoja na madaftar Nika mwambia bas atumie begi lake la zamani nikisha nunua begi jipya nita lituma! Baada ya kulinunua beg jipya niki mwambia amtume mtu akalichukue au wadogo zangu wakalipeleke yeye hataki ana taka niwe na mtumia pesa tu ina maana ata kama nimeona kitu Duka cha mtoto nisi mnunulie?Kwani wewe hujui kwa Bibi yake mtoto c upeleke wewe
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Sasa hivi sinunui kwasababu nilisha nunua nguo na baiskeli zipo nyumba tokea mwaka jana mama yangu akimpigia simu ili wadogo zangu wakike wazipeleke yeye hataki ana zima simu, Na Mimi siwez kumtumia pesa kwaajir ya vitu naamin hata nunua vitu ninavyo vitaka Mimi napenda mtoto awe na mabegi mawili uniform kaptura 4, mashart 4, viatu. Pea3 na Sweta sasa ninavyo jua nikutuma pesa hawez kuvinunua ndiyo maana Mimi nanunua mwenyeweEndelea kununua mwaya huyo anataka awe aanmdhulumu mtoto,bima ya afya kata ni ya muhimu mno kuliko unavyofikiri, yeye anasema hivyo kwakuwa hatoi hela,anataka awe anakwambia nadaiwa laki wakati katumia elfu kumi.
Mwanao anakula nn kila siku?we unajua nguo na baiskeli tu!Tenga budget kidogo kwa ajili ya chakula we hayo ya yeye kuolewa Achana nayoSiwezi kumpa hela za matumizi yake binafsi wakati yeye kashaolewa ni mke wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii number mbili umemaliza kila kitu...1. Una uhakika mtoto ni wa kwako? Isije ikawa unatumika tu kama sponsor.
2. Kama kaolewa inakuwa ngumu kupokea vitu kutoka kwako maana yeye ana mtoto mwingine kwenye hiyo ndoa. Sasa atabalance vipi furaha za watoto wake ikiwa mmoja ananunuliwa vitu vizuri na wewe halafu yule mtoto mwingine hana?
Kimalezi inaleta ukakasi kuonekana mtoto mmoja ana maisha mazuri na vitu vizuri zaidi ya mwingine ilhai wako nyukba moja na wanalelewa na baba na mama mmoja.
So tafuta tu pesa uwe unampa. Hawezi kukubali kuugawa upendo baina ya watoto wake wawili. Ngumu sana kwa mwanamke hiyo.
Sasa kwanini humchukui mwanao kama una uhakika ni wako?Siwezi kumpa hela za matumizi yake binafsi wakati yeye kashaolewa ni mke wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Au amchukue kabisa akae naye...Huyo mwanamke anajenga mazingira ili mtoto ajue anatunzwa na mamaye tu...
Huyo mwanamke inaonekana anapiga pesa kiasi toka kwako...(hii ndio naona sababu kubwa zaidi)
Suluhu:
Tumia muda mwingi sana kukaa na mwanao, mtoe out, ongea naye stori mbili tatu, nenda naye shopping n.k kwa umri alionao atajua nawe upo
Mtoto ana miaka 8 nikimwambia nataka kumchukua mtoto ana kataa ana akikuwa mkubwa atakuja nyumban kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Una uhakika mtoto ni wa kwako? Isije ikawa unatumika tu kama sponsor.
2. Kama kaolewa inakuwa ngumu kupokea vitu kutoka kwako maana yeye ana mtoto mwingine kwenye hiyo ndoa. Sasa atabalance vipi furaha za watoto wake ikiwa mmoja ananunuliwa vitu vizuri na wewe halafu yule mtoto mwingine hana?
Kimalezi inaleta ukakasi kuonekana mtoto mmoja ana maisha mazuri na vitu vizuri zaidi ya mwingine ilhai wako nyukba moja na wanalelewa na baba na mama mmoja.
So tafuta tu pesa uwe unampa. Hawezi kukubali kuugawa upendo baina ya watoto wake wawili. Ngumu sana kwa mwanamke hiyo.
Mwanao anakula nn kila siku?we unajua nguo na baiskeli tu!Tenga budget kidogo kwa ajili ya chakula we hayo ya yeye kuolewa Achana nayo
Kama hivyo sawaAchukue mtoto wake. Hiyo ndio point
Kwanza ana hakika ni mwanae? Huwa wanakuwa mpaka na kadi mbili za clinic. Kama ni mwanafunzi Mshauri aende shule aone jina aliloandikishwa halafu aanze mchakato wa kuzungumzia ratiba ya kukaa na mtotoKama ni mke wa MTU, achana naye ,USIMPE HATA MIA YAKO.
Wewe endelea kufanya unavyofanya.
Au amchukue kabisa akae naye...
Baaaas