Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

Mchukue mwanao na ubahili na wivu wako kwanini hukumuoa wewe Sasa?
Mimi siyo bahili yeye ataje mtoto anaitaji vitu Mimi nitanunua. Sasa yeye ana taka niwe natuma pesa ili mtoto wangu hasi nijue na hasi nipende
 
Sasa Bima ya Afya nayo haitaki

Basi atakuwa anakutaka wewe mkuu...

Endelea na utaratibu unaoona kwako ni sahihi Mkuu,,,, Wanawake huwezi waelewa kwa kupitia komenti za Jeiefu..

Ikikupendeza chukua mwanao, lea mwenyewe (ila Malezi ya mtoto mdogo ni mziki sana,,Jiandae..),,otherwise utakuja kumkumbuka mama watoto
 
Mtoto ni mkubwa miaka 8
 
Mimi siyo bahili yeye ataje mtoto anaitaji vitu Mimi nitanunua. Sasa yeye ana taka niwe natuma pesa ili mtoto wangu hasi nijue na hasi nipende
Hariri Comment yako

Achana na huyo mwanamke mkuu,,,Lea mwanao hvohvo unavolea,,usiendekeze upuuzi,, Ila hakikisha hela ya Chakula unatuma,,, tuma hela sio Chakula..

Nasisitiza tena tuma hela na sio Chakula,,,,,sio unatuma nguo tu...
 
Mimi siwez kutuma hela ya chakula wakati yeye hatak ndugu zangu wajue mtoto wangu anapo ishi sita tuma hela mpaka nijue mwanangu anaishi kwenye familia ya watoto wangapi nisije nikatuma hela ya chakula akawa ana pikiwa vyakula vya hari ya chini ili mradi kila mtoto apate
 
Aaaah kumbe mkubwa hvo...

Mkuu kaza.
Mimi nime mwambia awe ana kuja nyumbani kwetu ili apajue kwao na akiwa ana kuja ana kuta vitu nilivyo mnunulia ili ajue vitu nime nunua Mimi Baba yake sasa yeye hataki ana taka niwe natuma pesa tu ni nzur lakin baadae mtoto ata jua kila kitu anunua mama yke kumbe natuma hela mim
 
Kachukue mtoto ukaenae
 
Inawezekana pia hujui kuchagua nguo nzuri
 
Mchukue mtoto ukae naye
 
Tatizo mnazaa na masichana ya uswahilini
 
Hili tatizo kumbe lipo sehemu nyingi wadada wanataka vitu wanunue wao utume pesa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…