Mama wa pacha waliotenganishwa asimulia alivyoambiwa amezaa laana, adai baba mtu alimtelekeza

Mama wa pacha waliotenganishwa asimulia alivyoambiwa amezaa laana, adai baba mtu alimtelekeza

Mwana kaingia mitini
Yaani ishu kibao Madingi wanatoka nduki.

Jana tu nilikuwa kwenye 'Njia Panda' namsikiliza Mama ana Watoto watatu na yeye ni Mgonjwa, Mdingi katoka nduki.
 
... huyo mdada mjanja sana! Baada ya baba mtu kumkimbia kaona namna ya kumwingiza kingi (kumkomoa) ni kushusha umri wake to 17 ili msela automatically aingie kwenye kesi ya kubaka! Hata kama itathibitishwa vinginevyo hapo baadaye, jamaa atakuwa ameonja joto!

Inawezekana
 
Back
Top Bottom