... huyo mdada mjanja sana! Baada ya baba mtu kumkimbia kaona namna ya kumwingiza kingi (kumkomoa) ni kushusha umri wake to 17 ili msela automatically aingie kwenye kesi ya kubaka! Hata kama itathibitishwa vinginevyo hapo baadaye, jamaa atakuwa ameonja joto!