Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Achana nae mkuu , ni bora mkosane lakini usimle muheshimu hata huyo jamaa yako hii ni bro code ! Hebu fanya jamaa siku akajua utajisikiaje usiseme hatajua maana mambo ya mapenzi watu wa dizaini hii kujisahau mambo yote yakawa wazi ! Au weka hiyo situation ingekua wewe mshikaji wako huyo amle mama yako na ujue🤣

Huyo mama amepotoka kimaadili hatumpangii mtu wa kudate nae ni haki yake kikatiba lakini angeangalia uhusiano wako na rafiki yako akatafute kitoto kingine huko

Lingekua jimama jingine la mjini ambalo hamna link yeyote na rafiki yako fresh tu tungekwambia Bon appetite 🤣

Mimi sijui ni ushamba 🤣 ila mimi mtu akishanizidi miaka mmoja mbele kwa kweli sili yaani labda iwe anifiche umri kabla sijamla na nikijua hatuendelei ni either tulingane au nimzidi, naamini ni akili tu nimejijengea hivyo !!
 
Unashauri mkuu nichape asa nikamtongoza asije nitia nzii au nisubr ajae mwenyw.... Nitembee na ndomu kabisa maake Hawa wazee
We msubir ajae mwenyew,maana hawachelewag kugeuka hawa jinsia ke

Mimi huwa nina utaratibu sinaga haraka na mwanamke alienitaka,mpaka ajae ndo nampasua,asipoonesha dalili za kujaa nampotezea
 
Achana nae mkuu , ni bora mkosane lakini usimle muheshimu hata huyo jamaa yako hii ni bro code ! Hebu fanya jamaa siku akajua utajisikiaje usiseme hatajua maana mambo...
Ni kweli mkuu. Wala si ushamba, ni principles tu kila mmoja anakuwa kajiwekea. Yawezekana kuna watu jambo hili lingekuwa lao wala wasingejudge mara mbili. Wangejilia ndafu kiroho safi halafu wakazibeba outcomes. Kwa mini naona kabisa sitoweza kuhandle matokeo ya hapo
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka...
Hapo ni either ukutane nae sehemu umwambie ukweli au umpe matumaini mfu, so inategemea na wewe uwezo wako wa kukabiliana nae ukoje, na uepuke kuchat chat nae kwa maana anaweza kukutega bure halafu aje akusingizie kwamba unamtaka.

Sasa kwenye kumwambia ukweli, we kutana nae sehemu then mfungukie tu kwamba wewe sio aina ya vijana ambao wanavutiwa na vijuve (usimwambie dry sana sasa na wewe, ila mdanganye kidogo kwamba wewe ni mzuri ila ni vile tu Mimi nnamachaguo yangu, ila tuendelee tu kuwasiliana kwa maana huwezi jua bhana, then shwaaaa unatembea zako) 😅😅😅

Na kumpa matumaini mwambie akupe muda kwanza utafakari kwa maana jambo lake limekuja ghafla na ukizingatia wewe hukutarajia hilo kwahiyo unahitaji muda uweze kutafakari na umtoe kwenye ule upande ambao ulimuweka na umuweke kwenye huo upande mpya ambao mnataka kuuanzisha.

Na wakati huo pia unatakiwa umuhakikishie kwamba alichokifanya ni sahihi kwa maana mapenzi ni hisia na hisia hazichagui pahala pa kutua..

NB: kesi yako ni ngumu kaka, kwa maana hadi huruma umeanza kumuona 😂😂😂.
 
Heshima ni kitu Cha Bure na pia utaenda kupoteza urafiki na mtoto wake hata kama hatojua ila nafs yako haitakua na aman
 
Ni kweli mkuu. Wala si ushamba, ni principles tu kila mmoja anakuwa kajiwekea. Yawezekana kuna watu jambo hili lingekuwa lao wala wasingejudge mara mbili. Wangejilia ndafu kiroho safi halafu wakazibeba outcomes. Kwa mini naona kabisa sitoweza kuhandle matokeo ya hapo
Watu wana ujasiri , ila kimaadili haifai aseee !
 
Back
Top Bottom