machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Sidhani kama ni sahihi kumla ila kama unataka Hilo suala ni juu yako una maamuzi sahihi na yasio sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alikuwa Balozi kweli? Vetting haikukaa vizuri aiseeView attachment 3194288Huu mwaka wa mama watawamaliza ,kule Zambia huku Tanzania!Piga Tako boyah wewe...
Hahaha ni story ama commentMalizia story.
Nitaenda kuonana nae, itafahamikaKwa nini unataka kumuepuka?
Katika Msahafu sidhani kama nimeona pingamizi.
Balozi nae apewe mkuuHuyu alikuwa Balozi kweli? Vetting haikukaa vizuri aisee
Muombe m.kundu,......akikataa mteme,akikubali muite Malaya Kisha mtemeWakuu habari zenu.
Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.
Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.
Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.
Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.
Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.
Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.
Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.
Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.
Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.
Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.
Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?
Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Ni haki yako kuamini au kutokuamini. Upande wowote utakaochagua hautabadili uhalisiaNimefatilia post zako kadhaa ambazo umewahi andika humu kweny jukwaa,
kweny uandishi wa story za kutunga Kama hii ulio andika upo vzrii. Ila nashangaa watu wanacoment Kama vile ulichoandika ni kitu serious.
Upo kama mimiStory za uongo sizipendagi...ila nazisomaga🙂
Acha tu nicheke 😀😀😀😀😀Acha uzwazwa,kazi ya mwanaume ya kwanza ni kugegeda mengine ndo yanafata kama ulinzi ,n.k
Hahaaa....kama mazuzu vile..!Nimefatilia post zako kadhaa ambazo umewahi andika humu kweny jukwaa,
kweny uandishi wa story za kutunga Kama hii ulio andika upo vzrii. Ila nashangaa watu wanacoment Kama vile ulichoandika ni kitu serious.
Kweli kabisaAmgegede tuu mbuzi kafia kwa muuza supu...
😂😂😂😂😂Jina:- Jobless_Billionaire
Limesadifu vitu vingi sana. Kazi huna (shughuli) na una ndiyo za kuwa billionaire.
Yetu macho, PDiddy Bado hajahukumiwa kifungo
Wa kiume umejitutumua kusimulia.Wakuu habari zenu.
Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.
Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.
Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.
Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.
Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.
Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.
Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.
Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.
Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.
Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.
Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?
Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Eti utaleta mrejesho ukienda kukutana nae? Si tunataka kukushauri isiende kabisa we unasema utaenda utuletee mrejesho.Si hatutaki huo mrejesho na unaweza ukaenda huko usirudi na mrejesho.Yani ukapotezwa kabisa na shetani.Kama unajipenda na unamheshimu rafiki yako achana na huyo mama.Mchimbe mkwara kuwa utamchoma Kwa mwanae uone kama ataendelea na huo upuuzi.Wakuu habari zenu.