Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Sidhani kama ni sahihi kumla ila kama unataka Hilo suala ni juu yako una maamuzi sahihi na yasio sahihi
 
Nimefatilia post zako kadhaa ambazo umewahi andika humu kweny jukwaa,
kweny uandishi wa story za kutunga Kama hii ulio andika upo vzrii. Ila nashangaa watu wanacoment Kama vile ulichoandika ni kitu serious.
 
Ndugu dunia haina Siri
Jitunze na uitunze heshima yako
Itunze pia heshima ya huyo mama.
Huku ulikoanza kuomba ushauri ni sehem ya kuanza kutoa siri.
Chunga mzee shetani yupo kazini.
 
Muombe m.kundu,......akikataa mteme,akikubali muite Malaya Kisha mteme
 
Nimefatilia post zako kadhaa ambazo umewahi andika humu kweny jukwaa,
kweny uandishi wa story za kutunga Kama hii ulio andika upo vzrii. Ila nashangaa watu wanacoment Kama vile ulichoandika ni kitu serious.
Ni haki yako kuamini au kutokuamini. Upande wowote utakaochagua hautabadili uhalisia
 
Nimefatilia post zako kadhaa ambazo umewahi andika humu kweny jukwaa,
kweny uandishi wa story za kutunga Kama hii ulio andika upo vzrii. Ila nashangaa watu wanacoment Kama vile ulichoandika ni kitu serious.
Hahaaa....kama mazuzu vile..!
 
Wa kiume umejitutumua kusimulia.

Wanaume huwa hawanaga story kama hizi,
 
Eti utaleta mrejesho ukienda kukutana nae? Si tunataka kukushauri isiende kabisa we unasema utaenda utuletee mrejesho.Si hatutaki huo mrejesho na unaweza ukaenda huko usirudi na mrejesho.Yani ukapotezwa kabisa na shetani.Kama unajipenda na unamheshimu rafiki yako achana na huyo mama.Mchimbe mkwara kuwa utamchoma Kwa mwanae uone kama ataendelea na huo upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…