Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?

Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Huyo hakufai, nipe namba yake. Kingine, ni je anavaa kigaidi (maguina usoni na kichwani) Kama ndiyo basi usinipe namba yake.
 
Wanaume tumeumbwa kutumia akili. Hadi hapo unastahili tuzo maalum.Endelea kutumia akili hivyo hivyo utafikia muafaka mzuri tu. Hisia weka kando. Mambo madogo Sana hayo!
 
Huyo ni mbwa na mwanga. Nashauri akizidi kukusumbua, mwambie mama yako ili amalize ugomvi. Kalba ya kufanya hivyo, hakikisha unapata ushahidi asije kukuruka. Unaweza kwenda huko atakako na kumrekodi ili ukimwambia bi mkubwa uwe na ushahidi wa kumvua nguo
 
Acha ujinga kijana. Nipe namba yake mara moja, ili rafiki yako naye apate baba sahihi wa kufikia. Kamwe usimsogelee mama wa rafiki yako. Utalaaniwa.
 
Hongera kwa kujua kwamba Huyo ni mama wa lafiki yako

Na sisitiza mama was lafiki yako
 
Mkuu mpotezee tu uyo mama usije tengeneza uhadui baina yako na rafiki yako nyege za dakika mbili zisije zikaaribu furaha yako ya maisha yako
 
Dogo cha kukushauri ambacho ni cha msingi kuliko huo urafiki wako na jamaa yako ni kulinda AFYA YAKO!!! mwambie huyo MUMAMA muende hospitali apime HIV,KASWENDE(SYPHILIS),HEPATITIS-B,U.T.I apime na Herps simplex virus (HSV).

Majibu yakija yente na uyashuhudie na uwepo wakati wa kupewa majibu.Nenda kaichape kiroho safi usimnyime binadamu mwenzako vitu ulivyopewa bure.Akigoma kupima jua ANAMIWAYA toka nduki usije ungwa kwenye GRID ya Taifa🤝

Mpe show kali alafu msikilizie akitaka tena mpee mtoto wa makamo kalilia wembe mpe umkate alaahh😄😄😄.

Swala la rafiki yako inabidi kwanza utambue nini maana ya urafiki,pia huo urafiki wenu unafaida yoyote kiasi kwamba ukivunjika utakuletea hasara yoyote ya msingi au ni urafiki wa kishkaji tu.

Dogo mambo madogo kama haya unashindwa kuyamaliza wewe kama mwanaume, ndomaana ndoa ilikushinda ukaacha mke. Mwanaume unatakiwa uwe na uwezo mkubwa wa akili,kifua na kaba koo.

mzabzab mpe bwanamdogo miongozo ache ukondoo,chance haziji mara mbili.
 
Dogo cha kukushauri mwambie muende hospitali apime HIV apime na Herps simplex virus (HSV). Majibu yakija yente.Nenda kaichape kiroho safi usimnyime binadamu mwenzako vitu ulivyopewa bure.

Mpe show kali alafu msikilizie akitaka tena mpee mtoto wa makamo kalilia wembe mpe umkate alaahh.

Swala la rafiki yako inabidi kwanza utambue nini maana ya urafiki,pia huo urafiki wenu unafaida yoyote kiasi kwamba ukivunjika utakuletea hasara yoyote ya msingi au ni urafiki wa kishkaji tu.

Dogo mambo madogo kama haya unashindwa kuyamaliza wewe kama mwanaume, ndomaana ndoa ilikushinda ukaacha mke. Mwanaume unatakiwa uwe na uwezo mkubwa wa akili,kifua na kaba koo.

mzabzab mpe bwanamdogo miongozo ache ukondoo,chance haziji mara mbili.
Golden chance never comes twice.
 
Weka kwa mizani umuhimu wa uyo rafiki yako na faida za ww kua na mama yake ukipata majibu chukua hatua

Mama wa rafiki ni mama yako na usisahau kuna laana
 
Achana naye bana, atakuchezea na kukuharibia maisha.
Akiendelea kukusumbua ni PM dawa za watu wa hivyo ninayo
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?

Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Story nzima inaonesha na wewe una ka uhuni flani!
Unaendaje kwa mama wa rafiki yako unakaa kuanzia mchana mpaka saa 3 usiku.
Mnaongea nini cha kuchukua muda huo!?
What do you share in common!?
 
Back
Top Bottom