Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
HakikaUlitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.
😁😁😁Mapema yote hii umeamka na maisha ya Watu kichwani mwako? Sidhani kama Leo utapa nafasi ya kutafakari maisha yako na hatima ya familia yako!
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Namtumia hii thread asomeRoho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake
Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI. Mind you sizungumzii ile kuchukiwa na mtu mmoja mmoja kwa sababu zisizoeleweka. Huwezi kupendwa na kila...www.jamiiforums.com
Mkuu hujui kwanini wanaitwa wasanii...?Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Kipato cha mtoto kinaamua mama au mzazi afanye kazi gani.Ulitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.