Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wao si ndio wanawake maisha yao tuyajue mitandaoni? Sada endelea na Show Off harafu ukibroke uone kama tutaacha kukusema.Mapema yote hii umeamka na maisha ya Watu kichwani mwako? Sidhani kama Leo utapa nafasi ya kutafakari maisha yako na hatima ya familia yako!
Uko sahihi. Wa kuwaboreshea ni watoto.Humu jamii forum ni matajiri Sana,, usidharau mboga mboga... Nalima mboga mboga eneo ni heka na nusu unazijua Chinese wewe, Kuna msusa zile sukuma wiki matembele na bamia kwa siku nafunga hesabu inayoelewka ... Acha hao kina mama wafanye kazi!!!! Zaidi watoto wao wawaboreshee manzingira wauze mboga kwa level kubwa zaidi ya hapo.v
Wasanii hao pesa zao inasemekana zinatokana na maagano ya miunguWasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Hapo umemaliza Mkuu! 👏👏👏Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake
Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI. Mind you sizungumzii ile kuchukiwa na mtu mmoja mmoja kwa sababu zisizoeleweka. Huwezi kupendwa na kila...www.jamiiforums.com
Kuuza mboga sokoni kuna tatizo gani??Kipato cha mtoto kinaamua mama au mzazi afanye kazi gani.
Sio asifanye kazi bali afanye kazi gani kulingana na kipato cha mtoto wake.
Mama kakusomesha kwa kuokota makopo. Umefanikiwa na unapesa unamuacha aendelee kufanya kazi yake ya kuokota makopo, kisa ana uzoefu nayo?
Upumbavu mkubwa!
Ukiwa na pesa harafu hauna ubunifu hata wa kutafutia mama yako aina ya kazi/biashara, hiyo sio pesa halali.
Afu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,Humu jamii forum ni matajiri Sana,, usidharau mboga mboga... Nalima mboga mboga eneo ni heka na nusu unazijua Chinese wewe, Kuna msusa zile sukuma wiki matembele na bamia kwa siku nafunga hesabu inayoelewka ... Acha hao kina mama wafanye kazi!!!! Zaidi watoto wao wawaboreshee manzingira wauze mboga kwa level kubwa zaidi ya hapo.v
umenena mkuuKuna wazazi huwa hawapendi kuwa wategemezi hata we uwe na mishe zako unamtumia pesa bado utamkuta anafanya biashara zake ambazo we unaona zinamuumiza ila ye ameshazoea na anaona anatengeneza pesa inayokidhi mahitaji yake bila kukutegemea, siku ukiona kakuomba pesa ujue hali ngumu kweli unatakiwa ujiongeze uitume hata ndani ya sekunde 1.
Kiuhalisia maisha ni magumu sana mtu akikutegemea kwa 100% kuna muda unaweza kukwama, juzi kati nilikua na angalia clip flan za hawa truckers wa USA nikaona kuna mzee kazeeka sana bado anaendesha malori anasema udereva kanza 1972 hadi leo bado anaendesha gari za mizigo ila kibongo bongo utakuta huyo mzee mwenye umri kama wake hafanyi kazi anasumbua watoto hata kama afya yake ni nzuri.
Kuwa tegemezi ni chanzo cha ongezeko la umaskini kila mwenye uwezo wa kufanya kazi afanye kile anachoweza.
ulijuaje mkuu unakaa naeUnawashangaa hao wanaojishughulisha?
Mbona mama Diamond hana ajira yoyote ya kumuingizia kipato hushangai?
Si lazima mtoto aboreshe, mama anaingiza pesa kila siku hapo hizo pesa zitumike kuboresha na mtoto ampe mama idea na jina lake aliingiza kwenye biashara ya mama mambo yanaenda..... Unajua mboga mboga kufunga faida ya 20000 ni kawaida!!Uko sahihi. Wa kuwaboreshea ni watoto.
Wawawekee mazingira mazuri ya kuuza vitu fresh kulingana na dunia ya sasa.
Si kila mzazi hupenda kumtegemea mwanae akiwa na nguvu.Wengine ni hulka yao kufanya kazi teache hizo mindsetWasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Ndioulijuaje mkuu unakaa nae
Watu hawaelewi tu... Bustani Ina hela mdogo wangu.,... Wamekalili mpaka wafungue maduka Kodi kubwa wakae kupiga picha hapo. Wakati chinese, spinach ,sukuma wiki unavuna miezi mitatu na ukipanda ni siku 21 tu unaanza kuchukua maokoto.Afu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,
Ila mie walikua wanakuja bustanini wenyewe walanguzi, pesa nayopata hadi mwenyewe siamini.
Ni biashara nzuri yenye hela hatarii, mchicha, tembele, pitiku, sukuma wiki, mnafu, Chinese, spinach, etc
Kufanya kazi ni baraka, kufanya kazi ni lazimaWasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Vipi kuhusu baba yake?Kuna wazazi wanapenda kazi ili kulinda identities zao. Kuwapa pesa sio kigezo cha kuacha kazi zao.
Ila kuna wazazi ambao watoto hawajali kabisa kama wapo na pengine wanahitaji ukaribu wao.
Mara nyingi watoto wanakuwa busy hasa na mapenzi ya kutambulika, kuliko kuangalia wametokea wapi.
Diamond hamsahau mama yake na nahisi kama ana tofauti kubwa na wasanii wengi sana
Labda wanaidharau jinsi ilivyo kazi enyewe, ila wangejua maokoto yako hapo wasingesema.Watu hawaelewi tu... Bustani Ina hela mdogo wangu.,... Wamekalili mpaka wafungue maduka Kodi kubwa wakae kupiga picha hapo. Wakati chinese, spinach ,sukuma wiki unavuna miezi mitatu na ukipanda ni siku 21 tu unaanza kuchukua maokoto.
nafikiri tatizo sio biashara ya mbogamboga shida hawa wasanii wanatabia ya kuigiza maisha na kutengeneza picha flani kwa watu kwamba maisha wameyapatia kumbe sio ualisia jambo ambalo ndio usani wenyewe na watu hawaelewiHumu jamii forum ni matajiri Sana,, usidharau mboga mboga... Nalima mboga mboga eneo ni heka na nusu unazijua Chinese wewe, Kuna msusa zile sukuma wiki matembele na bamia kwa siku nafunga hesabu inayoelewka ... Acha hao kina mama wafanye kazi!!!! Zaidi watoto wao wawaboreshee manzingira wauze mboga kwa level kubwa zaidi ya hapo.v