Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

Ndio professional yake aliyochagua,wewe jiulize kwa nini hakai na mtoto wake,sometimes wazazi wanatabia ngumu za ajabu sana hata katika uzee wanataka kudate ni vitoto vidogo.Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukataa mzazi ila sometimes wazazi wanaIngua unatafuta Hela kwa jasho na damu unampa baada ya siku unasikia habari za kipuuzi,ukithibitisha unaamua kumwacha Aishi alivyochagua
 
Uuzaji huo ni tofauti na anayenunua kwa jumla na kuuza tena magengeni au nyumba kwa nyumba.Mbaya zaidi mwingine anaokota makopo.Sasa hizo fedha za watoto wao zina faida gani?
 
Shida haimpendezi mtu..
 
Mzazi kufanya kazi Kama hizo then Mimi nipo vizuri kiuchumi haiwezekani kwakweli japo Kazi ni Kazi .


Kuna Biashara nyingi nzuri na zenye tija ambazo ukimpatia Mzazi wako sio tu zitampatia faida ila zitaleta maana kwake.


Hizo Kazi za kuokota makopo na kugembea na besini la mboga mboga ni Kazi halali Ila ni Kazi ambazo ni za kimasikini na kifukara.

Wengi hufanya Kazi hizi Kama sehemu ya kujitafutia Chakula na sio ili ajenge wala kuinuka zaidi.
 
Ni kazi dhalili zenye kutoa heshima ya mtu ukilinganisha na status yake au ya mtu wake wa karibu mwenye uchumi ulio imara.
 
Nakubaliana na wewe Kwa asilimia 100.
Haiwezekani kijana unatamba mjini wakati wazazi wanafanya kazi za hadhi ya chini.
Kuna jamaa zangu mambo yao safi Mama yao alikuwa na goli kwenye shule flani ya msingi anawauzia watoto utumbo na miguu ya kuku na viazi vya kukaanga.
Tuliwasema wale jamaa how comes maza afanye kazi ile.
Wakasema hataki kuacha kwani ndio kazi iliyowakuza hata wao .
Tukawakatalia wakaamua kujenga fremu kubwa Kwenye nyumba ya Mama yao wakamjazia na bidhaa za kuuza matumizi ya nyumbani wakamtafutia na kijana Mama akaambiwa awe anasimamia.
Yule mama Mbona aliamua kuacha kazi yake ya kukaanga utumbo wa kuku kule shuleni na lile goli Lake akamuuzia mtu.
Hawa wasanii wa bongo ni wasanii tu hadi Kwenye maisha yao binafsi wanafake sana maisha
 
Ni kazi dhalili zenye kutoa heshima ya mtu ukilinganisha na status yake au ya mtu wake wa karibu mwenye uchumi ulio imara.

Nadhani MTU mweusi anatafsiri tofauti ya mafanikio

Ila Mimi huwa naamini katika Accumulation and distribution for the needs .

Mzazi kuuza Mchicha hiyo ni big NO japo Kazi ni Kazi.
 
Nadhani MTU mweusi anatafsiri tofauti ya mafanikio

Ila Mimi huwa naamini katika Accumulation and distribution for the needs .

Mzazi kuuza Mchicha hiyo ni big NO japo Kazi ni Kazi.
Mama aliyekuzaa na kukulea kwa mbinde unamuachaje anakuwa dhalili mbele ya umma?Ikibidi hata mgombane naye kama analazimisha kutunza hiyo "legacy" yake.Ataacha apende au asipende!Hamna namna.
 
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
Wewe mama yako anauza nini kazi kuchunguza na kusema maisha ya watu wengine,k wewe
 
Reactions: EEX
Hakika,sas Kama akili kisoda,utabaki ugomvi Now& Then!
Ugomvi huja baada ya yeye kudhani anafuatiliwa tu na kudhalilishwa bila kujua makosa yake yalikuwa wapi.Ushauri kwao:Kila wapatapo fursa hasa za kiuchumi/fedha,wajiimarishe wao na wanaowahusu ili kuepusha watu walio wadadisi-wanafiki.Hakika watapata utulivu wa akili na miili yao.
 
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
" sanaa isiwe kazi ya kutengeneza maskini wenye majina makubwa sanaa isiwe........"

ā˜†joh makiniā˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…