Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Umeelewa dhumuni la uzi muheshimiwa?Ulitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa dhumuni la uzi muheshimiwa?Ulitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.
Wala si sifa nzuri.Mbona kuna mama wa waziri alikuwa anauza vitumbua. Kazi ni uhai.
Uuzaji huo ni tofauti na anayenunua kwa jumla na kuuza tena magengeni au nyumba kwa nyumba.Mbaya zaidi mwingine anaokota makopo.Sasa hizo fedha za watoto wao zina faida gani?Humu jamii forum ni matajiri Sana,, usidharau mboga mboga... Nalima mboga mboga eneo ni heka na nusu unazijua Chinese wewe, Kuna msusa zile sukuma wiki matembele na bamia kwa siku nafunga hesabu inayoelewka ... Acha hao kina mama wafanye kazi!!!! Zaidi watoto wao wawaboreshee manzingira wauze mboga kwa level kubwa zaidi ya hapo.v
Shida haimpendezi mtu..Kipato cha mtoto kinaamua mama au mzazi afanye kazi gani.
Sio asifanye kazi bali afanye kazi gani kulingana na kipato cha mtoto wake.
Mama kakusomesha kwa kuokota makopo. Umefanikiwa na unapesa unamuacha aendelee kufanya kazi yake ya kuokota makopo, kisa ana uzoefu nayo?
Upumbavu mkubwa!
Ukiwa na pesa harafu hauna ubunifu hata wa kutafutia mama yako aina ya kazi/biashara, hiyo sio pesa halali.
Ni kazi dhalili zenye kutoa heshima ya mtu ukilinganisha na status yake au ya mtu wake wa karibu mwenye uchumi ulio imara.Mzazi kufanya kazi Kama hizo then Mimi nipo vizuri kiuchumi haiwezekani kwakweli japo Kazi ni Kazi .
Kuna Biashara nyingi nzuri na zenye tija ambazo ukimpatia Mzazi wako sio tu zitampatia faida ila zitaleta maana kwake.
Hizo Kazi za kuokota makopo na kugembea na besini la mboga mboga ni Kazi halali Ila ni Kazi ambazo ni za kimasikini na kifukara.
Wengi hufanya Kazi hizi Kama sehemu ya kujitafutia Chakula na sio ili ajenge wala kuinuka zaidi.
Nakubaliana na wewe Kwa asilimia 100.Kipato cha mtoto kinaamua mama au mzazi afanye kazi gani.
Sio asifanye kazi bali afanye kazi gani kulingana na kipato cha mtoto wake.
Mama kakusomesha kwa kuokota makopo. Umefanikiwa na unapesa unamuacha aendelee kufanya kazi yake ya kuokota makopo, kisa ana uzoefu nayo?
Upumbavu mkubwa!
Ukiwa na pesa harafu hauna ubunifu hata wa kutafutia mama yako aina ya kazi/biashara, hiyo sio pesa halali.
Ni kazi dhalili zenye kutoa heshima ya mtu ukilinganisha na status yake au ya mtu wake wa karibu mwenye uchumi ulio imara.
Mama aliyekuzaa na kukulea kwa mbinde unamuachaje anakuwa dhalili mbele ya umma?Ikibidi hata mgombane naye kama analazimisha kutunza hiyo "legacy" yake.Ataacha apende au asipende!Hamna namna.Nadhani MTU mweusi anatafsiri tofauti ya mafanikio
Ila Mimi huwa naamini katika Accumulation and distribution for the needs .
Mzazi kuuza Mchicha hiyo ni big NO japo Kazi ni Kazi.
Wewe mama yako anauza nini kazi kuchunguza na kusema maisha ya watu wengine,k weweWasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Siyo kujipanga na kusubiri kujibu maswali.Awe kila hatua anatumia akili njema ili kuepusha maswali.Yaan ukiwa P.Figure jipange kisaikolojia😥
Maprofesa ndiyo wenye hela eeh.Sijui lakini. Ila kaa ukijua kuna wazazi wabishi sana. Anaweza kuwa na mtoto profesa ila bado akawa anauza pombe za kienyeji.
Hakika,sas Kama akili kisoda,utabaki ugomvi Now& Then!Siyo kujipanga na kusubiri kujibu maswali.Awe kila hatua anatumia akili njema ili kuepusha maswali.
Ugomvi huja baada ya yeye kudhani anafuatiliwa tu na kudhalilishwa bila kujua makosa yake yalikuwa wapi.Ushauri kwao:Kila wapatapo fursa hasa za kiuchumi/fedha,wajiimarishe wao na wanaowahusu ili kuepusha watu walio wadadisi-wanafiki.Hakika watapata utulivu wa akili na miili yao.Hakika,sas Kama akili kisoda,utabaki ugomvi Now& Then!
Jumaa AwesoMbona kuna mama wa waziri alikuwa anauza vitumbua. Kazi ni uhai.
" sanaa isiwe kazi ya kutengeneza maskini wenye majina makubwa sanaa isiwe........"Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.