ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwani Kuna ubaya gani?Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Ulitaka aje akunyonye na wewe?Huyo Martha anayeimba "umenipambania wewe baba" ndiyo inasemwa anawanyonya viharage wenzie?....
Wabongo wengi kama mtoa mada wana dharau sana, wengine hawaheshimu kazi mpaka aje kufanya mzungu.Afu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,
Ila mie walikua wanakuja bustanini wenyewe walanguzi, pesa nayopata hadi mwenyewe siamini.
Ni biashara nzuri yenye hela hatarii, mchicha, tembele, pitiku, sukuma wiki, mnafu, Chinese, spinach, etc
Uwajui wanawake wa kinyakyusa wanavyo wafanyia jeuri watoto zao baadhi na wanavyo bagua watoto na kusababisha uadui mkubwa wa kifamilia niulize mimi kuhusu hilo kabila ni shida sana ...wanao salimika ni zile familia ambazo baba ndiyo alikuwa mlezi ila ikitokea baba kafariki na mlezi awe mama wa kinyakyusa lazima hiyo familia itasambaratikaWasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Wewe ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu 💩💩💩💩💩My mom never starved!❤❤❤ Am so proud about it!
Huyo uliye muuliza swali ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu...😁😁Vipi kuhusu baba yake?
Ni kama mfano tu. Wazazi wengine hawajui kudekaMaprofesa ndiyo wenye hela eeh.
Mbona baba yake Nandy ni fundi radio lakin ana life fresh tu, anaendesha gari nzuri na anaheshimika sana.Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Dada Martha samahani eeh.Ulitaka aje akunyonye na wewe?
Kuuza juice kuna ubaya gani? Kuuza mbogamboga kuna ubaya gani?Umeelewa dhumuni la uzi muheshimiwa?
Gwede unampeleka wapi?Ulitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.
Kanitengeza huyu baba ,haaaaaaHuyo Martha anayeimba "umenipambania wewe baba" ndiyo inasemwa anawanyonya viharage wenzie?....
Kufanya kazi hatukatai kabisa abadani lakini Cha kujiuliza je mazingira wanayofanyia kazi ni sahihi?Ulitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.