Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
Kwani Kuna ubaya gani?
 
Afu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,
Ila mie walikua wanakuja bustanini wenyewe walanguzi, pesa nayopata hadi mwenyewe siamini.

Ni biashara nzuri yenye hela hatarii, mchicha, tembele, pitiku, sukuma wiki, mnafu, Chinese, spinach, etc
Wabongo wengi kama mtoa mada wana dharau sana, wengine hawaheshimu kazi mpaka aje kufanya mzungu.

Mama wa Kiafrika akiokota chupa atasemwa kafulia, akija mzungu kufanya kazi hiyo hiyo ataitwa mwanamazingira.
 
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
Uwajui wanawake wa kinyakyusa wanavyo wafanyia jeuri watoto zao baadhi na wanavyo bagua watoto na kusababisha uadui mkubwa wa kifamilia niulize mimi kuhusu hilo kabila ni shida sana ...wanao salimika ni zile familia ambazo baba ndiyo alikuwa mlezi ila ikitokea baba kafariki na mlezi awe mama wa kinyakyusa lazima hiyo familia itasambaratika
 
Kuna wazazi wanasimamia wanachokiamini, kama pesa zako zina kona kona hawataki uwasaidie kwa chochote.
 
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
Mbona baba yake Nandy ni fundi radio lakin ana life fresh tu, anaendesha gari nzuri na anaheshimika sana.

KAZI NI KAZI TU.
 
Ulitaka wakae bila kufanya kazi halafu wale nini? Watoto wao warithi nini?
Hata kama mtoto wako ni tajiri kiasi gani kufanya kazi ni lazima.
Kufanya kazi hatukatai kabisa abadani lakini Cha kujiuliza je mazingira wanayofanyia kazi ni sahihi?

Mtu anaokota makopo yaliyokojolewa nk anaenda kuyasuuza na kuweka kinywaji huoni hapo mtaji wake ni kidogo tofauti maisha ya mwanae mfano rayvany kachoma magari na nyumba kwenye shooting za video zake. Ni sahihi mama yake kuuza genge Kwa ukwasi tunaona Kwa mwanae?


Kwa namna Ile hata mo sijawahi muona anachoma hata baiskeli tu.


Mwaipaja yeye kafungulia watu Baki biashara kubwa na Tena ananinulia watu magari. Je ni sahihi?


Binafisi Mimi wazazi ni wakulima lakini Huwa najitajidi kuboresha kilimo Chao na ufuguji wao watoke kizamani hatimae walime kisasana hata ufugaji vilevile.


Mwaipaja mama yake akimbunia vifungashio na ofisi nzuri ya kisasa nani ataleta Uzi humu? Ukiona kitu kinaongelewa sana na jamii basi ujue Kuna shida hapako sawa.
 
Mnaodharau biashara ya kuuza mboga za majani huwa hamnunui hizo mboga!!! Mbona mboga za majani zinafaida nzuri kiafya kuliko vyakula mnavyonunua kwa bei ghali vinavyowasababishia cancer,kisukari au presha.
 
Kwahiyo kuuza mboga mboga na juice ndio ugumu was maisha kwa tafsiri Yako sio!!?

Kwani wewe tafsiri ya maisha magumu na rahisi ni ipi!!?

Wewe naona ndio una matatizo man!
 
Back
Top Bottom