Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

Pitiku ni mboga ya maboga.
Umechanganya na Kingoni Mlongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wee acha kilugha kimenikaa hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo wengi kama mtoa mada wana dharau sana, wengine hawaheshimu kazi mpaka aje kufanya mzungu.

Mama wa Kiafrika akiokota chupa atasemwa kafulia, akija mzungu kufanya kazi hiyo hiyo ataitwa mwanamazingira.
Umesema ukweli kabisaaa.
 
Mkuu, kuna wazazi huwa tu hawapendi kuwa tegemezi. Binafsi nina jamaa yangu namfahamu yupo njema sana, mama yake ni fundi cherehani, aligoma kabisa kuacha kazi yake jamaa alichofanya ni kumnunulia mashine za kisasa tu. Kwahiyo ni uamuzi tu
 
Oyaaaaa, nitafutieni Martha basi nimnyonye kiharage. Kwanini anyonye cha Joan ilhali sisi mabaradhuli tunaweza kunyonya chake pia?
 
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
Kwani akiuza mboga au kuokota chupa na kuuza juice kuna shida gani?
Au Ulitaka wafanye kazi gani?
 
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .

Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.

Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.


This industry is all about shit.
Mama wa diamond na alikiba wanafanya shughuli gani? Kutoboa na kusaidia ndugu ni vitu viwili tofauti
 
Sisi tulio jirani na mama yake Rayvann hapa Nzovwe Mbeya hata hatushangai kwa huyu mama kuendelea na shughuli zake ndogondogo,Mama ni mtata hataki kutumia pesa ya mwanae eti kisa haelewi imepatikana vipi!

Rayvann kamjengea mama yake nyumba ya kisasa eneo la Iwambi block C,kumshawishi mama huyu ahamie Iwambi imekuwa ni changamoto,mama hataki kuhamia amezoea uswahilini🤣🤣
 
Wee usinambie😄
 
Hiyo inawezekana kabisa, unakuta mzazi anaishi uswahilini kwenye nyumba nzuri tu. Na biashara yake ya genge anapata mahitaji yake bila shida. Ukimjengea jumba "uzunguni" akaishi ndani ya fence haonani hata na majirani
 
Hii ndo point ya maana.
 
Kila mtu kaongea lwake but the truth is mama yake reyvan ni mlokole na mfia dini baada ya v van boy kutoboa through music mama yake aligoma kupokea hata senti tano yake baada ya wafitini kuzusha maneno kwamba v vany ni freemason na mshirikina.

Pale kwao nzovwe bwana v van alinunua nyumba inayopakana na nyumba yao akazungusha fence ili ashushe mjengo maza ake akagoma so hiyo nyumba nyingine aliyoinunua akampa kaka ake akae akamnunulia na magari mawili ist na noah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…