cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli hao kina mama wapige kazi kelele Wawa achie vyura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli hao kina mama wapige kazi kelele Wawa achie vyura
Yaan wee acha kilugha kimenikaa hatari.Pitiku ni mboga ya maboga.
Umechanganya na Kingoni Mlongo [emoji23][emoji23][emoji23]
AhsanteeHongera sana bibie.
Umesema ukweli kabisaaa.Wabongo wengi kama mtoa mada wana dharau sana, wengine hawaheshimu kazi mpaka aje kufanya mzungu.
Mama wa Kiafrika akiokota chupa atasemwa kafulia, akija mzungu kufanya kazi hiyo hiyo ataitwa mwanamazingira.
🙏Majani ya maboga.
Una uhakika huyo mama anaokota makopo?
UmeniwahiMapema yote hii umeamka na maisha ya Watu kichwani mwako? Sidhani kama Leo utapata nafasi ya kutafakari maisha yako na hatima ya familia yako!
Kwani akiuza mboga au kuokota chupa na kuuza juice kuna shida gani?Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Mama wa diamond na alikiba wanafanya shughuli gani? Kutoboa na kusaidia ndugu ni vitu viwili tofautiWasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Wee usinambie😄Sisi tulio jirani na mama yake Rayvann hapa Nzovwe Mbeya hata hatushangai kwa huyu mama kuendelea na shughuli zake ndogondogo,Mama ni mtata hataki kutumia pesa ya mwanae eti kisa haelewi imepatikana vipi!
Rayvann kamjengea mama yake nyumba ya kisasa eneo la Iwambi block C,kumshawishi mama huyu ahamie Iwambi imekuwa ni changamoto,mama hataki kuhamia amezoea uswahilini🤣🤣
Wee usinambie😄
Ooh hatari sanaNdiyo hivyo mkuu,yaani ye ukimuona ana amani zote na biashara yake hiyo,ila mama ni mlokole nadhani hii itakuwa imempelekea asiwe mpenda makuu!
Hiyo inawezekana kabisa, unakuta mzazi anaishi uswahilini kwenye nyumba nzuri tu. Na biashara yake ya genge anapata mahitaji yake bila shida. Ukimjengea jumba "uzunguni" akaishi ndani ya fence haonani hata na majiraniSisi tulio jirani na mama yake Rayvann hapa Nzovwe Mbeya hata hatushangai kwa huyu mama kuendelea na shughuli zake ndogondogo,Mama ni mtata hataki kutumia pesa ya mwanae eti kisa haelewi imepatikana vipi!
Rayvann kamjengea mama yake nyumba ya kisasa eneo la Iwambi block C,kumshawishi mama huyu ahamie Iwambi imekuwa ni changamoto,mama hataki kuhamia amezoea uswahilini🤣🤣
Hii ndo point ya maana.Kuna wazazi huwa hawapendi kuwa wategemezi hata we uwe na mishe zako unamtumia pesa bado utamkuta anafanya biashara zake ambazo we unaona zinamuumiza ila ye ameshazoea na anaona anatengeneza pesa inayokidhi mahitaji yake bila kukutegemea, siku ukiona kakuomba pesa ujue hali ngumu kweli unatakiwa ujiongeze uitume hata ndani ya sekunde 1.
Kiuhalisia maisha ni magumu sana mtu akikutegemea kwa 100% kuna muda unaweza kukwama, juzi kati nilikua na angalia clip flan za hawa truckers wa USA nikaona kuna mzee kazeeka sana bado anaendesha malori anasema udereva kanza 1972 hadi leo bado anaendesha gari za mizigo ila kibongo bongo utakuta huyo mzee mwenye umri kama wake hafanyi kazi anasumbua watoto hata kama afya yake ni nzuri.
Kuwa tegemezi ni chanzo cha ongezeko la umaskini kila mwenye uwezo wa kufanya kazi afanye kile anachoweza.