Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Yule aliyechinja kisha akanunua gunia za kutosha za mkaa akachoma umemsahau mara hii? Tabia ya mtu mmoja mmoja usi-generalize kwa jamii yote.
Kesi yake mbona kimya mpaka leo hstujui hatima yake?
 
Kesi yake mbona kimya mpaka leo hstujui hatima yake?
... kesi za aina hiyo huchukua miaka kaka! Mnakaa mnasahau mnakuja baadaye kushtukizwa fulani kakatiwa hukumu miaka 10 au hata 15 baadaye.
 
Mambo ya ndoa ni hatari nilishuhudia ndoa ya Mama yangu mdogo walifikia hatua ya kushikiana pistol, huku wana watoto wa 30+yrs na ndoa iliuodumu zaidi ya 30+ yrs iliisha
Mmh! Eeh kwa hapo sio mchezo. Hakuna expert wa ndoa. 30 years bado mnatengana!!
 
Ila jamani kuishi na mke kwahitaji akili sana. Wakati Fulani Mimi nahisi wanawake hawataki kuishi kwa amani na starehe.
1. Akiona mmeishi kwa amani kwa muda bila vurugu Wala Nini anavizia simu yako aichunguze au hata ukiongea kwenye simu anajitahidi ajue Ni Nani unaongea nae.
2. Akiona Kuna besti yako mmeshibada atataka atibue urafiki kwa kusema besti anakutafutia wanawake.
3. Kosa hela za matumizi ya ndani ndio utajua tofauti ya ibilisi na mwanamke Ni ndogo sana.
4. Ukitulia nyumbani lazima akupige vijembe ili mradi tu usione Raha.
5. Siku usile hapo nyumbani halafu jioni kosea uombe uroda ndio utajua kumbe hata wachaga wanajua taarabu
 
Pesa nyingi Kwa mwanamke, jeuri na dharau vinakuwa 100%. Na hizi ndio sumu kwa mwanaume. Zinafunga fahamu zake, anakuwa kama kichaa.kawaida kuua ndio dawa, itakayo mpa amani.Kama hutaki kuua, acha kuoa zama hizi.
 
Hii kali pilipili mbuzi haiwashi!

🤣🤣🤣
 
Nadhani watu wa Bunju beach wanaweza kusaidia kueleza Mzava na mke walikuwa wanamaelewano mazuri au ilifika stage wanavumiliana kwa.mapungufu ya kibinadamu.

Mzava alikuwa anamalizia ghorofa lake ahamie, watoto washakuwa wakubwa. Wananzengo wanadai mpaka kwa yaliyotokea itakuwa bingwa kavumilia mengi kwa miaka kadhaa naona akasema sasa fullstop. Kama ni kweli ni yeye aliyemaliza uhai wa.mke wake.

Wanawake wa TRA wengi huwa wanakamatika na vishawashi vya wafanyabiashara wakubwa na wadogo, wapo ma clearing agent nao wana mbwembwe hatari utafikiri ndio wenye mali. Dada yetu mmoja amekufa alikuwa TRA airport marehemu Anna wa sinza mugabe alikuwa pisi kali ila kazi ikachangia kufupisha maisha yake. Maana kazi ilimkutanisha na watu wengi mwishoe huwezi kukwepa mishale ya wanaume.

Dada cathe nakupa pongezi kwa kuendelea kuwa na Tabia njema nadhani kumpenda yesu kumekusaidia Samora usibebwe na wimbi la bahari la wafanyabiashara na ma agents.
 
Hahahaaa kwa nini ujitese hivi Jombaa? Si uishi free agent lifestyle tu. My peace of mind means everything to me.
 
Siku ukioa kisha Mke wako aliwe kwa staha na utambue hilo nadhani utafurahi.
 
Huyu Anna wa Mugabe ilikuwaje?
Huyu Anna wa Mugabe ilikuwaje story yake?
 
Nasikia ameishi kwa mateso sana wajuba wanasema.
 
Mtumwa mama yako kwa baba yako huna adabu ww
 
Umemaliza kubweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We tukunyema una nn zaidi ya minofu ka kitimoto mavi ya popo kabisa


KOMA USIRUDIE TENA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…