Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏👏Na wewe kaue ili somo lieleweke zaidi
Yesu si alifufuka? Tena ndugu zetu Muslims wanaamini hakufa kabisa, alipaa.Yesu alitenda mema mbona alikufa below 40.
Shetani anatenda mema mbona Hadi Sasa hafi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
hadi mimi nashangaa yaani,Watu wa kaskazini wamekua makatili zama hizi
Ukimshirikisha Mungu kila muda na kila wakati shetani haingii kabisa nyoyoni mwa mtu kabisaShetani anakuchabo tu??? Ukishaingia nae kwa ndoa shetani anawatonya wajuba wanamuibukia na wanamla fresh tu na bwana asifiwe zake
Fafanua wasambaa ni Suzuki ki vipiHahahahah sema yote ya yote wasambaa ni kama Suzuki 😅 ya mke!
Msukuma ni kama Toyota.
Rip my sisterWana JF,
Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.
Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.
Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.
Mama anaitwa Irene Mzava, alihamishwa kutoka TRA Temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho.
Baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getini na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.
View attachment 2063586
Hakuna anaezingatia ulichoandika wanawake wataendelea kuuawa tuTena Naongezea
Hivi Sisi Wanaume....
Ngoja Nianze hivi,Wanyama Madume mfano Ng’ombe,Mbuzi,Kuku nk hawawezi kuwa na Mwanamke mmoja tuu wengi wao,Angalia Kuku Utakuta Mama Mfugaji anakuambia Ngoja Nimtafutie mitetea Hapo Dume moja Mitetea 10,
Vivyo hivyo hata Ng’ombe,Dume moja majike hata 5 nk.
Ok.
Sisi Wanaume Tunapokuwa na Michepuko kwa mfano,Nani anatuadhibu?
Hata Kama Wenzi wetu wakijua Wanafanyaje?
Kama sio Kuishia Kusikitika na Kuumia.
Wengi wetu tunawanyanyasa wanawake kwa Kuwa hawawezi Tufanya Kitu ,
Tena unaweza Kuta Jamaa nae alikuwa na Kamchepuko ka Binti jadogo say 18-25!
Au Shangingi tuu jingine Lakini Nani Anamuadhibu?
Kama Tcra Wakikagua simu ya Jamaa meseji kuanzia Januari mwaka huu Mpaka December Messji na Simu zilizopigwa mara nyingi lazima Wapate Kamchepuko kake...
Sasa Yeye nani Kamuua?[emoji3516][emoji30][emoji51][emoji51]
MUNGU tuu ndio mwwnye kutoa Adhabu ya Kuua.
Sababu ndio alieumba.
Sasa yeye jamaa kamumba?Eti katoa mahari[emoji3516]
Na Hiki kitabia Kinasambaa haswa Vijana wa sasa hivi nao wanajifanya Wanajia kupenda na Kutoa Matumizi eti akifumania na Mke wake anaua...
Wanatakiwa nao Kuuwawa tuu kama sio Jela basi Maisha.
Wazazi wamezaa halafu eti Mume wake kamuua mtoto wao.
Umemshindwa mbona Hujamrudisha kwa wazazi wao???[emoji51][emoji51][emoji51]
Jombaa fungua mimi macho hapa umeniacha.Hahahahah sema yote ya yote wasambaa ni kama Suzuki 😅 ya mke!
Shetwani hawezi kufa kwa sababu hakuumbwa kwa udongo hata wa kumuua hayupo kwa kuwa naye ana mguvu sanaYesu si alifufuka? Tena ndugu zetu Muslims wanaamini hakufa kabisa, alipaa.
Shetani sio mwanadamu, ni malaika aliyeasi...kifo cha mwili hakimuhusu kabisa.
Suzuki tugari himilivu sana kwenye tabu na mahangaiko ya maisha. Mke mvumilivu ni suzukiJombaa fungua mimi macho hapa umeniacha.
Kusema kweli wapare in general ni watu poa sana, pisi zao sasa...[emoji119]Ila Kama Ni ushauri wa kabila la kuoa. Mshauri mtu Kama hawezi kuoa kabila lake,. Basi aoe mpare au msukuma. Vinginevyo stick to your lane.
[emoji23].punguza jazba mkuuHii kauli ya mshahara wa dhambi ni mauti ina maana wema hawafi au?
Inatisha mnoo... Dada mmoja nae kafanya hivyo huko wapi sijui... Kamuua mumewe kwa maji ya moto na petroli...
What is happening!??
Whaatttt!!!????Mauaji ya kwenye ndoa. Ukisoma majina unagundua ni ndoa za kikristo.
Ngumu sana kukuta majina ya kiislam wamechinjana kwenye ndoa
Kwasababu ndoa za kiislam Zina pressure valve. (TALAKA)Mauaji ya kwenye ndoa. Ukisoma majina unagundua ni ndoa za kikristo.
Ngumu sana kukuta majina ya kiislam wamechinjana kwenye ndoa
Mkuu heri ya mwaka mpya. Naona una uzoefu sana na haya mambo kama mimi. Ni kweli. Hasa Tanzania, hasa zama hizi za mtandao. Baadhi ya wanawake wamewekeza kwenye kauli chafu.Dharau na kauli chafu ndo chanzo cha talaka au vifo vya wanawake wengi.
Silaha ya mwanamke ni mdomo mchafu