Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Hayo yote ili tuweze kufanikiwa kabla ya kupata mwenza ni kumshirikisha Mungu tu, kuanzia kumpata mahusiano mpaka ndoa, hizo hatua zote ukimshirikisha Mungu umefaulu sana.
Mungu yupo kila mahala lakini uharifu unatendeka kila siku, kwa nini? Amezidiwa?
 
Huwa Serikali Haishindwi kitu Mkuu...
Mke Hujazaliwa nae,Hata Kama Kakuzaliwa watoto sijui eti Unefunga nae ndoa sasa Jamaa Ataenda Kuozea jela!
Polisi Haishindwi kujua Ukweli kaka,
Ndio Jamaa Mwanaume na wwngine Kama yeye wanaojifanya Wana Uchungu Kama Vile Huyo Mama Ni Mali yao,Na Wao ndio wamemzaa na Kumuumba!
Lazima Kiwatokee Kitu....
Mark my words.

Tena Naongezea
Hivi Sisi Wanaume....
Ngoja Nianze hivi,Wanyama Madume mfano Ng’ombe,Mbuzi,Kuku nk hawawezi kuwa na Mwanamke mmoja tuu wengi wao,Angalia Kuku Utakuta Mama Mfugaji anakuambia Ngoja Nimtafutie mitetea Hapo Dume moja Mitetea 10,
Vivyo hivyo hata Ng’ombe,Dume moja majike hata 5 nk.
Ok.
Sisi Wanaume Tunapokuwa na Michepuko kwa mfano,Nani anatuadhibu?
Hata Kama Wenzi wetu wakijua Wanafanyaje?
Kama sio Kuishia Kusikitika na Kuumia.
Wengi wetu tunawanyanyasa wanawake kwa Kuwa hawawezi Tufanya Kitu ,
Tena unaweza Kuta Jamaa nae alikuwa na Kamchepuko ka Binti jadogo say 18-25!
Au Shangingi tuu jingine Lakini Nani Anamuadhibu?
Kama Tcra Wakikagua simu ya Jamaa meseji kuanzia Januari mwaka huu Mpaka December Messji na Simu zilizopigwa mara nyingi lazima Wapate Kamchepuko kake...
Sasa Yeye nani Kamuua?[emoji3516][emoji30][emoji51][emoji51]
MUNGU tuu ndio mwwnye kutoa Adhabu ya Kuua.
Sababu ndio alieumba.
Sasa yeye jamaa kamumba?Eti katoa mahari[emoji3516]
Na Hiki kitabia Kinasambaa haswa Vijana wa sasa hivi nao wanajifanya Wanajia kupenda na Kutoa Matumizi eti akifumania na Mke wake anaua...
Wanatakiwa nao Kuuwawa tuu kama sio Jela basi Maisha.
Wazazi wamezaa halafu eti Mume wake kamuua mtoto wao.
Umemshindwa mbona Hujamrudisha kwa wazazi wao???[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.

Mama anaitwa Irene Mzava, alihamishwa kutoka TRA Temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho.

Baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getini na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.


Huyu baba angemwacha tuu huyo mke wake kuliko hili balaa alilozua

Lala salama Irene
 
Naona sheria ya kuoa wanawake wengi iruhusiwe tu kunusuru wanaume wasiue mwanamke akiwa mmoja na akapata dodge kukuzidi umekwisha, utafanyiwa vituko mpaka pombe ardhi ikumeze
Nakubaliana na wewe 100%. Mkewangu angekuwa peke yake kuna hatari yangenikuta kama unayoyasema. Lakini nikampandisha cheo akawa bi mkubwa na nikahakikisha kila rafiki yake wa karibu namla kwa gharama yeyote na juzi nimemla mdogo wake mmoja mtam balaa na nimefanikiwa mwenzenu sina hata stress kabisa. Kwa nini upate shida ya kutafuta kesi ya mauaji? Hapa nilipo najisikia nipo draw na yeye. Anafikiri ananizidi kumbe nimemzidi kila anachokifanya naambiwa matokeo kaniambia mimi mchawi.😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom