Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Siyo kweli kwamba ukizidisha maovu ndiyo muda wa kuishi unapongua. Je watoto wanaokufa wakiwa wadogo, au wengine same day wanapozaliwa wana maovu gani?
Itakuwa ni misinterpretation ya maandiko...
watoto moja kwa moja mbinguni (ufalme wa mbinguni ni wao)...mnaohuzunika ni nyie watu wazima ila wao watoto wanakuwa wameenda sehemu nzuri sana... (Huu ni mtazamo tu wa Imani yangu...kuna Imani nyingine nyingi tofauti)
 
watoto moja kwa moja mbinguni (ufalme wa mbinguni ni wao)...mnaohuzunika ni nyie watu wazima ila wao watoto wanakuwa wameenda sehemu nzuri sana... (Huu ni mtazamo tu wa Imani yangu...kuna Imani nyingine nyingi tofauti)
Sasa hapo huo msemo una maana gani kama watoto wanakufa wadogo tena bila dhambi unless kama unaongelea mauti kwa maana nyingine
 
Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.

Mama anaitwa Irene Mzava, alihamishwa kutoka TRA Temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho.

Baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getini na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.
OOPS, I know the lady, RIP Irene Mmari. Tutakutana huko juu.
 
Hii Hoja Yako naipinga hao watu wakushinda kanisani ni wabaya sana Kuna kipindi nikiwa Chuo Kuna mdada alikuwa amezama sana kwenye neno na alikuwa na mchumba wake huko mkoa mwingine ambaye alikuwa kikazi na huyo mchumba wake alikuwa ameshika neno huwezi amini yule mdada nilikua nikimla Hadi Mda mwingine anakuja tunalala Hadi asubuhi kwao wanajua Yuko mkesha wa maombi imagine demu anakuja na bible geto hii Dunia iache tu, Hadi walivyo oana ndiyo penzi likawa limeisha coz alienda kuishi Kwa mme wake mkoani
Mkuu kama ulikua haujui dhambi kuu ya walokole ni uzinzi na uasherati...amini kwamba...
 
Inatakiwa sasaivi serikali iajiri sana watu wengi wa saikolojia wawe kila kata ikiwezekana moja ya kazi yao ni kutembelea kila nyumba na kuzungumza nao,mauaji ya kifamilia sasaivi yamekuwa mengi sana,juzi moshi mtoto kamuua mama,haya temeke jana napo mtoto wa kiume kamuua baba,na leo ni Baba kamuua mama,Allah atunusuru sana
Arusha mkuu - Njiro Container. Huko huko Njiro tena kuna mama kauliwa na houseboy/shambaboy. Hakika Mungu atunusuru na hili pepo la mauaji 😭 😢
 
Shida sio kupigiwa shida kupigiwa na ukajua yani mtu hajaribu hata kuficha.
Alafu mkute mkeo analiwa jicho🤣🤣🤣

Kuna mwana alimfumania msg mke wake akimsifia mwamba anavyompakua mtr
Sana tuuu

Mwana siku hiyo tulikesha naye bar chipolopolo
Pale,tulumpa makanselingi ya nguvu mwana alirudi nyumbani kwake kesho yake saa saba mchana akachukua vyake akasepaa mazima

Mwanamke hakuwa na la kusema
Mwanamke alipigwa ganzi tu

Hivi akiitisha kikao cha usuluhishi akiulizwa sababu ya mwanaume kumpiga chini ni nini mwanamke ataeleza nn!
Maana kama jicho ashaliwa sana

Ova
 
Alafu mkute mkeo analiwa jicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mwana alimfumania msg mke wake akimsifia mwamba anavyompakua mtr
Sana tuuu

Mwana siku hiyo tulikesha naye bar chipolopolo
Pale,tulumpa makanselingi ya nguvu mwana alirudi nyumbani kwake kesho yake saa saba mchana akachukua vyake akasepaa mazima

Mwanamke hakuwa na la kusema
Mwanamke alipigwa ganzi tu

Hivi akiitisha kikao cha usuluhishi akiulizwa sababu ya mwanaume kumpiga chini ni nini mwanamke ataeleza nn!
Maana kama jicho ashaliwa sana

Ova
[emoji38][emoji38][emoji38] hata hao wajumbe wa kikao wanaweza mtembezea kichapo huyo manzi akiwaambia alikuwa anatoa jicho nje
 
Pesa uleta matatizo mengi Sana kwenye ndoa ikipungua au ikiongezeka.
Filisika ujue tabia ya mkeo,subiri mume apate pesa ujue tabia yake kama alikuwa mshinda nyumbani ashindi home yupo bize,
Nguvu ya mwanaume ipo kwenye pesa kwa ulimwengu wa Sasa,ambapo thamani ya mtu ni pesa,huna pesa sahau kuhusu upendo, marafiki,undugu.
Ni watu wawili tu duniani hawatokuacha ukiwa huna pesa,ambao nao tukiwa na pesa tunawasahu,Yesu Kristo na mama yako mzazi wengine wote uvutwa kwako na kile watakachopata toka kwako.
Hadi babako anakupiga chini ukiwa huna hela? Manake umetaja watu wawili tu mamako na Yesu
 
Hii kauli ya mshahara wa dhambi ni mauti ina maana wema hawafi au?
naomba nijibu kwa ninavyoelewa. mshahara wa dhambi ni mauti. mauti inayotajwa hapo ni mauti ya pili yaani jehanum ya moto.

Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Ufunuo 21:8 SRUV
 
Back
Top Bottom