Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Katika Taswira ya Kidunia ...Hii kauli ya mshahara wa dhambi ni mauti ina maana wema hawafi au?
Joyce Kiria ni mropokaji tu, yeye alikuwepo kipindi huyo jamaa anakimbia ?Huyo mama nimeona kwa Joyce kiria kuwa mume kamuua na kukimbia
Nakubaliana nawewe kabisa 100%Hayo yote ili tuweze kufanikiwa kabla ya kupata mwenza ni kumshirikisha Mungu tu,kuanzia kumpata mahusiano mpaka ndoa izo hatua zote ukimshirikisha Mungu umefaulu sana
Mafundisho ya kidini yanakataza hicho unachokisema, na hata kiafya sio kitu sahihi.Kama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.
Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.
Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake[emoji23][emoji23]
Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.
Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.
Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.
Katika taswira ya dunia mbona uwa tunasema wema hufa mapema. Kuna watoto wadogo wanakufa mapema. Ila sasa njoo kwa wauaji unakuta linaishi hadi uzeeniKatika Taswira ya Kidunia ...
Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.
Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.
Unaishi miaka 40 tu.
Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko
Katika Taswira ya Kiroho....
MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.
Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.
Indeed.Anakuzidi kipato, anakudharau.
Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.
Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...
siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko
Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bladifakeni.
Nakuelewa sana mkuu!Kama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.
Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.
Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake[emoji23][emoji23]
Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.
Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.
Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.
Kukata upepo ndio kufariki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna Mchiz wangu tumemzika juzi kati .
Jamaa alikua anajipigia LIMAMA LIMOJA Liko Mahakamani....Mume wake yuko Kitengo.
Jamaa, akawa analipiga weee, baadae Jamaa akaliambiaga Limama, Limpe 10M aliuzie gari yake.
Nikama likabeba 10 M likampa mchizi.
Mchizi akala kona, hakumpa Gari, wala nn ,na mapenzi yakaisha.
Jimama, nikawa linaogopa kumwambia Mumewe ,maana likimwambia inshu itabuma kwake.
Sisi hatujui Jimama limedeal vipi ... Mwamba (Mjeda) kaumwa Kichwa ghafla, kalazwa, kakata upepo.
SIKU HIZI HATA CHA MWANAMKE HAKILIWI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu akiliwa unaachana naye... kuua sio suluhuAnakuzidi kipato, anakudharau.
Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.
Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...
siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko
Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bladifakeni.
Naam naaam Mkuu, Wanawake tuliumbiwa sisi wanaume.Doctor.....!
Sumbawanga huko kna mme kamkata mke wake maskio yote mawili kaondoka nayoTutawamaliza wake zetu
Wanawake asilimia kubwa sahv maslahi mbeleNaam naaam Mkuu, Wanawake tuliumbiwa sisi wanaume.
Sisi wanaume ndio wamiliki wa wanawake.
Ni watumwa Wetu hao.
Ndio maana Joyce Kiria alikua anatunanga weeeee ,nakujiona Feminist, lkn unaona mwisho wasiku kaingia penzin upya, kwa sababu ASINGEWEZA KUISHI BILA MWANAUME kwa umri wake.
Sasa sisi wanaume tufanyeje ???
Kwa kua mpira uko kwetu, na mabadiliko ya mazingira na maisha ,yewabadilisha wao pia..... Hatupaswi kuacha kuwashughulikia.
Kwa sasa tuwashughulikie tukiwa na Akili kichwani, Tusiwape Moyo wala nn.
Muishi kama vile kesho atasepa....USIWEKEZE MOYO. USIWEKEZE AKILI, USIWEKEZE NGUVU, USIWEKEZE PESA,..KWA UFUPI USIFANYE UWEKEZAJI UNAOJUA ,SIKU AKISEPA, UTAKUFWAAA
Alafu kama umegundua Kitu.... WANAWAKE SIKU HIZI NAO WANATAGETI ZAO, YAAN NAWAO SAIZI WANAINGIA KIMAHESABU MNOOO,... HUMJALI . NO FREE PAPUCHI.
Kama anakuelewa ,anakuelewa tu na atajua hapa Mwamba Niko naye kuchapana miti tuu .... Akikubali Poa....asipokubali Poa.
Kwan Utakufa???? Mpaka uanze kuhangaika wee kumvuta. Utumie pesa, nguvu,Moyo,akili..kumshawishi awe wako.... ...unategemea siku ukijua, anakusaliti utafanyaje ????.
UNAPOKUTANA NA DEMU, ASSUME KUA ANA BWANA AU MABWANA ZAKE... IVO USIJIPE USIPESHOO SANA KWENYE MAISHA YAKE.
HAMNA MWANAMKE SINGO.!!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mazuri aisee hii dunia ngumu sana.Mauaji yapo toka zamani
Sema sahvi sim na mitandao ya kijami
Imefanya habari kupatikana kwa kasi
Sumbawanga huko kuna mme kamkata mke wake masikio kaondoka nayo
Ova
Nakubaliana nawewe.NASEMAGA SIKU ZOTE ,MKIWA KWENYE MAHUSIANO UKIONA HAMUELEWANI BORA
MMWAGANE,KILA ACHUKUE NJIA YAKE!
SEMA SASA KUNA WENGINE HAWAKUBALIANI
NA HALI HIYO,KUUSHINDA NAFSI NGUMU SANA
MWISHO WAKE HAPO NI KUUMIZANA,KUTIANA VILEMA,KUTOANA UHAI
ova