Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
Hii Hoja Yako naipinga hao watu wakushinda kanisani ni wabaya sana Kuna kipindi nikiwa Chuo Kuna mdada alikuwa amezama sana kwenye neno na alikuwa na mchumba wake huko mkoa mwingine ambaye alikuwa kikazi na huyo mchumba wake alikuwa ameshika neno huwezi amini yule mdada nilikua nikimla Hadi Mda mwingine anakuja tunalala Hadi asubuhi kwao wanajua Yuko mkesha wa maombi imagine demu anakuja na bible geto hii Dunia iache tu, Hadi walivyo oana ndiyo penzi likawa limeisha coz alienda kuishi Kwa mme wake mkoani
 
Mpenzi, mbona umejampu tu konklusheni wakati hata stori haijakamilika

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
My Love,, Mwanaume atavumilia yote yampayo jaziba.

Lakini kwenye suala la Usaliti, suala linalogusa Hisia zake, Heshima yake kama Mume.

ATAKUFANYIA KITU MBAYA KAMA HANA MOYO MGUMU.
 
Hii Hoja Yako naipinga hao watu wakushinda kanisani ni wabaya sana Kuna kipindi nikiwa Chuo Kuna mdada alikuwa amezama sana kwenye neno na alikuwa na mchumba wake huko mkoa mwingine ambaye alikuwa kikazi na huyo mchumba wake alikuwa ameshika neno huwezi amini yule mdada nilikua nikimla Hadi Mda mwingine anakuja tunalala Hadi asubuhi kwao wanajua Yuko mkesha wa maombi imagine demu anakuja na bible geto hii Dunia iache tu, Hadi walivyo oana ndiyo penzi likawa limeisha coz alienda kuishi Kwa mme wake mkoani
Mimi hao walokole nawala sana na vile napiga kinanda kwenye kwaya
 
M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
Nyege ni nyege tu, haina mbadala. Pia maisha hayana formula.
 
Hii Hoja Yako naipinga hao watu wakushinda kanisani ni wabaya sana Kuna kipindi nikiwa Chuo Kuna mdada alikuwa amezama sana kwenye neno na alikuwa na mchumba wake huko mkoa mwingine ambaye alikuwa kikazi na huyo mchumba wake alikuwa ameshika neno huwezi amini yule mdada nilikua nikimla Hadi Mda mwingine anakuja tunalala Hadi asubuhi kwao wanajua Yuko mkesha wa maombi imagine demu anakuja na bible geto hii Dunia iache tu, Hadi walivyo oana ndiyo penzi likawa limeisha coz alienda kuishi Kwa mme wake mkoani
Huyo alikuwa msanii hajazama kwenye neno kama unavyodai

Mkuuu unachosema nikweli, Mimi nasemea Mwanamke anayeswali/kusali kwa Moyo wake wote, yaaan yule anayefanya hayo sababu anajua Maisha yake ni Mwenyezi Mungu, kwamba kila kilicho chake ni kwasababu ya Mungu.

Mdau mmoja kasema,naili umpate huyo lazima nawewe umshirkishe Mungu.

Nikweli uliowazi, saizi kuna watu wanaficha maovu yao kupitia Dini., wengine wanaenda kwa sababu ndio Tumaini lamwisho lilobakia.
 
Huko Kwenye madhabahu wanavuana sana chupi ogopa sana watu wa dini hakuna chakuzama Wala kudumbukia ni usanii tu dini ni vichaka vya watu kutimiza malengo yao
 
Back
Top Bottom