Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

M naweza msinielewe


Kama una mpango wa KUOA sasa..


Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.


Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.



Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.



ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.



Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.


UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.



achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
Naona leo umeguswa unatema madini tu.
 
Naam naaam Mkuu, Wanawake tuliumbiwa sisi wanaume.

Sisi wanaume ndio wamiliki wa wanawake.

Ni watumwa Wetu hao.


Ndio maana Joyce Kiria alikua anatunanga weeeee ,nakujiona Feminist, lkn unaona mwisho wasiku kaingia penzin upya, kwa sababu ASINGEWEZA KUISHI BILA MWANAUME kwa umri wake.


Sasa sisi wanaume tufanyeje ???


Kwa kua mpira uko kwetu, na mabadiliko ya mazingira na maisha ,yewabadilisha wao pia..... Hatupaswi kuacha kuwashughulikia.


Kwa sasa tuwashughulikie tukiwa na Akili kichwani, Tusiwape Moyo wala nn.


Muishi kama vile kesho atasepa....USIWEKEZE MOYO. USIWEKEZE AKILI, USIWEKEZE NGUVU, USIWEKEZE PESA,..KWA UFUPI USIFANYE UWEKEZAJI UNAOJUA ,SIKU AKISEPA, UTAKUFWAAA




Alafu kama umegundua Kitu.... WANAWAKE SIKU HIZI NAO WANATAGETI ZAO, YAAN NAWAO SAIZI WANAINGIA KIMAHESABU MNOOO,... HUMJALI . NO FREE PAPUCHI.




Kama anakuelewa ,anakuelewa tu na atajua hapa Mwamba Niko naye kuchapana miti tuu .... Akikubali Poa....asipokubali Poa.

Kwan Utakufa???? Mpaka uanze kuhangaika wee kumvuta. Utumie pesa, nguvu,Moyo,akili..kumshawishi awe wako.... ...unategemea siku ukijua, anakusaliti utafanyaje ????.



UNAPOKUTANA NA DEMU, ASSUME KUA ANA BWANA AU MABWANA ZAKE... IVO USIJIPE USIPESHOO SANA KWENYE MAISHA YAKE.


HAMNA MWANAMKE SINGO.!!.
Ruka ruka kama maharage yapo kwenye sufuria motoni ila tambua kuna siku utaoa hafu watu wa aina yako huwa wanakamatwa sana na wake zao hata kutamba huwezi
 
My Love,, Mwanaume atavumilia yote yampayo jaziba.


Lakini kwenye suala la Usaliti, suala linalogusa Hisia zake, Heshima yake kama Mume.


ATAKUFANYIA KITU MBAYA KAMA HANA MOYO MGUMU.
Mambo mengi ya nini mtu umeshaona hakuthamini sepa habari ya kuanza kujitia nuksi kisa mbususu inahusu?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.


Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.

Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake[emoji23][emoji23]


Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.


Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.


Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.

Mwana hii comment yako japo imenena kisela ila inaendana sana na nyakati zilizopo
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.



Mshahara wa Dhambi ni Mauti.



Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...



siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko


Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Bladifakeni.
Chanzo kitakuwa mapenzi, mke kwa vile alikuwa na kipato Cha huhakika na pesa za hongo atakuwa alidharau sana mume, wake,pia inawezekana mama alikuwa anapigwa sana miti uko ofisini dharau analeta nyumbani.
 
Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.
Walikosa nauli ya kwenda Upareni?
 
Inatakiwa sasaivi serikali iajiri sana watu wengi wa saikolojia wawe kila kata ikiwezekana moja ya kazi yao ni kutembelea kila nyumba na kuzungumza nao,mauaji ya kifamilia sasaivi yamekuwa mengi sana,juzi moshi mtoto kamuua mama,haya temeke jana napo mtoto wa kiume kamuua baba,na leo ni Baba kamuua mama,Allah atunusuru sana
 

Attachments

  • VID-20211229-WA0174.mp4
    20.1 MB
Back
Top Bottom