Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
Hahahahaha.....ndugu yangu umekuwa motivations speaker wa masuala ya muhusiano ghafla. Tatizo ni nini? Fanta, mirinda au henken?
 
Nimekua mdau wa TRA tangu ianzishwe July 96 na kabla ya hapo customs and sales tax.
Nawajua vema wamama wanaofanya kazi TRA wengi sana wanawanyanyasa waume zzao kupitiliza. Nina mifano mingi sana, wengine wamewaacha waume zao kisa tu wanatembea na wafanyabiashara wenye pesa.
Tunawaona wengi tu wanaletwa na lifti za Prado usiku wa manane wakati mume Yuko ndani. Kuna yule aliyemuacha mumewe ndani kalala lodge na kibenten kurudi asubuhi mume keshakufa kwa presha.
Ukiona waif amepata kazi TRA hasa Kama Ni mshamba mshamba, vunja ndoa fasta katafute house wife uinjoi Maisha.
 
Katika Taswira ya Kidunia ...

Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.

Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.

Unaishi miaka 40 tu.

Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko

Katika Taswira ya Kiroho....

MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.

Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.
Wangapi wanatenda dhambi na wanaishi miaka mingi? Uo mfano wako hauna mashiko
 
Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.
Haya sasa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huko Kwenye madhabahu wanavuana sana chupi ogopa sana watu wa dini hakuna chakuzama Wala kudumbukia ni usanii tu dini ni vichaka vya watu kutimiza malengo yao
Kanisani siku hizi sio sehemu salama sana kutafuta mchumba, ushahidi wengi uenda kutafuta mke au mme na sio kumtafuta Mungu,wakishapata mume au mke na kanisani mguu ukata.
 
Katika Taswira ya Kidunia ...

Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.

Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.

Unaishi miaka 40 tu.

Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko

Katika Taswira ya Kiroho....

MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.

Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.
Kwa uzoefu nilionao wachawi na makatili wanaishi miaka mingi sana tofauti na sie wenye roho za malaika😅
 
Wangapi wanatenda dhambi na wanaishi miaka mingi? Uo mfano wako hauna mashiko
Bob , kuna watu Mungu anawaacha waishi ili Kua funzo kwa wengine

Lkn pia ,Mungu hatoi adhabu sababu umefanya jambo baya.

Ingekua hivo tusingekuwapo wote.

Lakini bado hilo haliondoi ukweli kua, Ukitenda uovu ukawa chukizo na kushindwa kujirekebisha, UTAKUFA TU KABLA YA WAKATI.

Bahati nzuri mifano unayo mingi kwa kuiona au kusikia.
 
M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
Umenena vyema
 
Nilicheka sana siku moja nikiwa natuma salamu za mpalange kwa dada mmoja nikawa nafurahia huku nalia yule Dada hakuamini. Nilimuomba tukeshe akakubali cha ajabu yeye kesho yake aliomba abaki na mimi kwa siku 3 zaidi.

Amakweli Buza kumenoga lami kama zote. Dodosa usiulize swali.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.

Huwa Serikali Haishindwi kitu Mkuu...
Mke Hujazaliwa nae,Hata Kama Kakuzaliwa watoto sijui eti Unefunga nae ndoa sasa Jamaa Ataenda Kuozea jela!
Polisi Haishindwi kujua Ukweli kaka,
Ndio Jamaa Mwanaume na wwngine Kama yeye wanaojifanya Wana Uchungu Kama Vile Huyo Mama Ni Mali yao,Na Wao ndio wamemzaa na Kumuumba!
Lazima Kiwatokee Kitu....
Mark my words.
 
Back
Top Bottom