Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya ya Malinyi, Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus (37), ambaye alitorokwa na mumewe kutokana na ugumu wa maisha.
IMG_0409.jpeg
Mkaguzi Rasha, akiwa katika jukumu lake la kutoa elimu katika kijiji na kata ya Kilosa Mpepo, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, alipokea ujumbe kutoka kwa mama huyo akiomba msaada wa kutafutiwa mumewe ambaye ametoroka na kumtelekeza pamoja na watoto.
IMG_0411.jpeg
Baada ya kupokea wito huo, Rasha alifika nyumbani kwa Belita na kuelezwa changamoto alizonazo baada ya mume wake kumtoroka. Ameeleza kuwa maisha yamekuwa magumu sana na anakabiliwa na tatizo la makazi, kwani anakaa kwenye kibanda alichopewa na msamaria ambaye sasa anakitaka. Pia, amekosa mahitaji muhimu kwa ajili yake na watoto wake na hawezi kuwaendeleza kielimu.
IMG_0410.jpeg
Belita amesema njia pekee inayomfanya aishi ni kufanya vibarua vya kulima na usafi kwenye nyumba za watu ili apate pesa za kusukuma maisha. Mtoto wake mkubwa ana miaka 14 na alitakiwa kuwa darasa la sita, huku mtoto mdogo akiwa na miezi mitano tu.
IMG_0413.jpeg
Mkaguzi Rasha amempatia Belita kilo 20 za unga, mche wa sabuni, na fedha kidogo ya kujikimu ili kumfariji. Hata hivyo, mama huyo anahitaji msaada zaidi kutoka kwa wasamaria wema walioguswa na hali yake.

Picha: Michael Rasha
 
Dah God have a mercy

Contact za mama zipo wapi??? Au tunampataje? Iwe watsup ya huyo police ikiwezekana.
 
Ndugu achia namba ya huyu afande watu wafanye jambo
 
Huwa nina hasira sana na wanaume wanao zalisha hovyo kama mapanya halafu kulea hawawezi.

Mijitu ya namna hii ndio inazalisha umaskini na kuongeza idadi ya maskini kuwa wengi duniani.

Na ndio maana huwa nafurahi sana watoto wa namna hii, wanao kulia katika shida hizi, wanapokuja kufanikiwa na kuwatupilia mbali hao baba zao wapumbavu na wazembe wakwepa majukumu.

Li mzazi la namna hii siku likija kukuomba msamaha wewe mtoto wake, Unamfurumusha na mabapa ya panga akafie mbali.
 
Hao watoto huwezi ona wala kujua umuhimu wao sasa hivi.., wakikua utaelewa umuhimu wao katika taifa.., tunahitaji vubarua kwa ajili ya miradi kama BRT, elewa hilo..
 
Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya ya Malinyi, Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus (37), ambaye alitorokwa na mumewe kutokana na ugumu wa maisha.
Mkaguzi Rasha, akiwa katika jukumu lake la kutoa elimu katika kijiji na kata ya Kilosa Mpepo, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, alipokea ujumbe kutoka kwa mama huyo akiomba msaada wa kutafutiwa mumewe ambaye ametoroka na kumtelekeza pamoja na watoto.
Baada ya kupokea wito huo, Rasha alifika nyumbani kwa Belita na kuelezwa changamoto alizonazo baada ya mume wake kumtoroka. Ameeleza kuwa maisha yamekuwa magumu sana na anakabiliwa na tatizo la makazi, kwani anakaa kwenye kibanda alichopewa na msamaria ambaye sasa anakitaka. Pia, amekosa mahitaji muhimu kwa ajili yake na watoto wake na hawezi kuwaendeleza kielimu.
Belita amesema njia pekee inayomfanya aishi ni kufanya vibarua vya kulima na usafi kwenye nyumba za watu ili apate pesa za kusukuma maisha. Mtoto wake mkubwa ana miaka 14 na alitakiwa kuwa darasa la sita, huku mtoto mdogo akiwa na miezi mitano tu.
Mkaguzi Rasha amempatia Belita kilo 20 za unga, mche wa sabuni, na fedha kidogo ya kujikimu ili kumfariji. Hata hivyo, mama huyo anahitaji msaada zaidi kutoka kwa wasamaria wema walioguswa na hali yake.

Picha: Michael Rasha
Maskini kazi yake ni kukamuana tu.

Ukiona kijana anawaza ngono mara kwa mara mkimbie huyo ana jini la umaskini.
 
Duh, kuna watu Mungu kawajaalia aisee. Yani unatembea na mioyo miwili Mara 8? Watu na afya zao kwa kweli

Mungu amfanyie wepesi katika malezi ya watoto wake.
Huo uzazi angeupata Wema Sepetu au lady JD wangeringa sana! Mungu ana siri sana, watu wanaoweza kulea hata watoto 10 kawanyima uzazi hata wa kuzaa katoto kamoja,ila wale wasiokua na uwezi wa kulea kawapa kizazi chepesi sana, mwanaume ukitupia tu kanasa tayari!!
 
Huwa nina hasira sana na wanaume wanao zalisha hovyo kama mapanya halafu kulea hawawezi.

Mijitu ya namna hii ndio inazalisha umaskini na kuongeza idadi ya maskini kuwa wengi duniani.

Na ndio maana huwa nafurahi sana watoto wa namna hii, wanao kulia katika shida hizi, wanapokuja kufanikiwa na kuwatupilia mbali hao baba zao wapumbavu na wazembe wakwepa majukumu.

Li mzazi la namna hii siku likija kukuomba msamaha wewe mtoto wake, Unamfurumusha na mabapa ya panga akafie mbali.
Inauma sana. Hao watoto hawana kosa lolote.

Sisi wazazi ni wavinafsi.....kwa starehe zetu wenyewe zinapelekea maumivu na mateso makali kwa watoto.

Kule Geita Mzee mmoja alizaa watoto 11 akawatelekeza wote akaenda kuoa kigoli kipya.

Yaani miafrika na ngino ni hatari
 
Huo uzazi angeupata Wema Sepetu au lady JD wangeringa sana! Mungu ana siri sana, watu wanaoweza kulea hata watoto 10 kawanyima uzazi hata wa kuzaa katoto kamoja,ila wale wasiokua na uwezi wa kulea kawapa kizazi chepesi sana, mwanaume ukitupia tu kanasa tayari!!
Nilimsikia Diva anataka kuzaa akipata mapacha atafurahi......nikajisemea Hiiiii hiii!!!
Mungu hakupi vyote
 
Back
Top Bottom