Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto zaidi ya wawili kwenye kibanda cha nyasi, chini ya maisha ya kifukara?.

Matokeo yake ndio kuja kutia huruma na kuwapa watu wengine mzigo wa kusaidia malezi. Huyu mama na huyo mume wake wamefanya jambo la kijinga sana, watoto nane hapo kwenye icho kibanda kwelii?, stupid!.
 
Ila una maanisha nini kusema vibarua?

Kwa nini wewe huzai watoto wengi waje kuwa vibarua?

Ila unaona sawa watu wengine kuzaa watoto wengi ili waje kuwa vibarua?
Kila mtu azae na kulea kwa kadiri yake. Wa kuwa vibarua watakuwa tu..
 
Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa watoto zaidi ya wawili kwenye kibanda cha nyasi, chini ya maisha ya kifukara?.

Matokeo yake ndio kuja kutia huruma na kuwapa watu wengine mzigo wa kusaidia malezi. Huyu mama na huyo mume wake wamefanya jambo la kijinga sana, watoto nane hapo kwenye icho kibanda kwelii?, stupid!.
Kweli kabisa mkuu.

Waafrika ni wajinga na wapumbavu sana.

Wanazaliana kama mapanya, Halafu mwisho wa siku wana anza kutia tia huruma kutaka msaada.

Wakati wana nyanduana sijui wanadhani kuzaa ni kama kuangua maembe mtini!!!!
 
Wabongo wanapenda kulia lia huyo mama nae n kiaz unapanua mapaja unazaa watoto wote hao ili uje kutia huruma uchangie na hapo unakuta huyo mume wake amemtuma aombe msaada
 
Yani huu ni ujinga mkubwa sana
 
huyo mama anapaswa kucharazwa viboko 8 kama idadi ya watoto wake kabla ya kupewa msaada sanjari na kufungwa uzazi kwa lazima.

unaona nyinyi ni mafukara unapanua uchi wa 1, 2, 3...bado unaendelea tu.

mume atafutwe achapwe bakora 16 uchi kisha afanyishwe kazi kwa lazima malipo yaende malezi ya watoto.

Uafrika na upumbavu ni damudamu. damu za ukima zinakimbiza kwenye veins.
 
Huo uzazi angeupata Wema Sepetu au lady JD wangeringa sana! Mungu ana siri sana, watu wanaoweza kulea hata watoto 10 kawanyima uzazi hata wa kuzaa katoto kamoja,ila wale wasiokua na uwezi wa kulea kawapa kizazi chepesi sana, mwanaume ukitupia tu kanasa tayari!!
Uzazi ni neema tu, wapo watu maskini pia uzazi unawasumbua, na wako matajiri wana-team ya watoto. Kabla sijapata watoto nilitamani kuwa nao 7, ila baada ya kuzaa hawa wawili. Hapana kwa kweli. Ujasiri wa kutembea na mioyo miwili wakati mmoja sina.
Nimempongeza tu kwa hiyo afya na ujasiri. Mungu atamuinua na atalea.

Angeweza kuwakimbia pia kama alivyofanya mumewe, lakini siku zote mama ni mwenye huruma na upendo. Kwa jua kwa mvua, yuko na wanae.
 
Ilo eneo halina diwani,mbunge,DC,Rc ustawi wa jamii ,.. NGOs (Ngo's wazee wa kuweka namba za kukusanya misaada afu wana zila )

Anyway kesho Rais ana toa ml 200 kwa alie gundua dawa ya meno tamu
 
Wabongo wanapenda kulia lia huyo mama nae n kiaz unapanua mapaja unazaa watoto wote hao ili uje kutia huruma uchangie na hapo unakuta huyo mume wake amemtuma aombe msaada
Mama naye wa kulaumiwa!
Anatanuwa tu, tanuwa tanuwa x 8!
Tuwalaumu wote!
 
Kukosekana kwa elimu na huduma ya uzazi wa mpango hasa maeneo ya vijijini ni chanzo cha matatizo kama haya.
Mfumo dume pia huchangia. Wanawake hawana maamuzi juu ya miili yako. Yani kisa mwanaume kakuoa basi atakufanya kila anapojisikia bila kujali siku salama/hatari.
 
Nimejaribu kujiuliza tu. Hivi huyo jamaa hela za kumpeleka uyo mke hospital kujifungua watoto wote hao alizipatia wapi? Na hawana makazi. Au huko vijijini watu wanajifungulia nyumbani. Au huduma za kujifungua kwa vijijin ni bure?
 
Mama naye wa kulaumiwa!
Anatanuwa tu, tanuwa tanuwa x 8!
Tuwalaumu wote!
Kabisa....Huyu mama nae kichwani hamna kitu kwa kweli. Hali ya mumeo unaijua alafu unaendelea kumpa tu, tena amwage na hzo mbegu.
 
Kukosekana kwa elimu na huduma ya uzazi wa mpango hasa maeneo ya vijijini ni chanzo cha matatizo kama haya.
Mfumo dume pia huchangia. Wanawake hawana maamuzi juu ya miili yako. Yani kisa mwanaume kakuoa basi atakufanya kila anapojisikia bila kujali siku salama/hatari.
Kwani hao watoto alijifungulia wapi mkuu? Au vijijini watu wanajifungua nyumbani? Mi naona ni ujinga wao wazazi, usikute hospital walishaendaga na wakapewa huo ushauri wa uzaz wa mpango.
 
Huo uzazi angeupata Wema Sepetu au lady JD wangeringa sana! Mungu ana siri sana, watu wanaoweza kulea hata watoto 10 kawanyima uzazi hata wa kuzaa katoto kamoja,ila wale wasiokua na uwezi wa kulea kawapa kizazi chepesi sana, mwanaume ukitupia tu kanasa tayari!!
Huyo Mungu pia atakuwa mpumbavu sana kwa kufanya watoto wazaliwe kwenye umaskini wateseke badala ya kufanya wazaliwe kwenye utajiri.
 
Kukosekana kwa elimu na huduma ya uzazi wa mpango hasa maeneo ya vijijini ni chanzo cha matatizo kama haya.
Mfumo dume pia huchangia. Wanawake hawana maamuzi juu ya miili yako. Yani kisa mwanaume kakuoa basi atakufanya kila anapojisikia bila kujali siku salama/hatari.
Sahihi
 
Ukiwa unaon a mume hana muelekeo usizae tu maana hana guarantee kulipwa
 
Inakuwaje maskini kama hiyo anazaa watoto 8, huwa anategemea nani wa kuwahudumia. Huna nyumba wala kazi ya maana lakini kutwa kuzaa. Waafrika tuna shida mahali.
 
Back
Top Bottom