Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Yani kama mtu anajijua kabisa hataweza kulea mtoto na kumhudumia bora asizae kabisa.Kuna mtu aliwahi kuleta uzi humu JF kwamba haioni haja ya kuzalisha watoto wakati matunzo hana na itapelekea watoto kuteseka sana. Hoja yake ilipingwa sana na akatazamwa kwa mtazamo hasi na kumshangaa kwa nn haoni faida ya kuwa na watoto. Hapa ndio ninaamini usemi wa AKHERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI
Ningekuwa na uwezo wa kudhibiti watu maskini wasizae kabisa ningefanya hivyo.
Mtu maskini hastahili kuzaa kabisa maana anaibebesha serikali mzigo mzito sana wa kulea ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.