Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

Gwajima atajifanya hajausoma Uzi huu!
Ila tunaomba huyu mama ajengewe nyumba ya kuishi na serikali.
Japo nimeguswa,nami nitamchangia frdha
 
Fikiria Malinyi ni sehemu inayostawi mazao ya chakula kwa wingi.

Lakini Mzee Baba yeye yuko Bize kipiga mabao tu hadi Chakula cha kulisha watoto hana amekimbia😅😅😅
 
Mkuu,mbona hasira,vipi yashakukumba nini!
 
Lizee kama hilo unakamata unasweka ndani jela.

Ndio maana kwa nchi za wenzetu Ulaya na Amerika ukikwepa kulea mtoto. Either unyang'anywe huyo mtoto au adhabu na faini juu za child support.

Huku Afrika watu wana zaa zaa hovyo kama mapanya halafu kulea hawawezi.

Ndio maana umaskini hauishi.
 
Mkuu,mbona hasira,vipi yashakukumba nini!
Hayajawahi kunikumba.

Ila napata hasira sana kuona watoto wadogo na wachanga wasio na hatia yeyote ile wakiteseka kwa sababu ya upumbavu na uzembe wa mzazi Mpumbavu mkwepa majukumu.

Wazazi wa namna hii hawafai kabisa. Wanapaswa wahasiwe hizo kende zao.

Maana wana ongeza maskini wengine duniani tu.
 
Maisha ya Sasa Kama huna Hela uzikimbilie kuzaa au kuzalishwa.
 

Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Wafia Dini watapinga
 
Changamoto hizi nadhani ziwaguse Wabunge wanaopitisha mambo nengi sana ya kukidhi haja za viongozi walioko madarakani na wastaafu kwa kweli Mungu anawaona enyi viongozi wetu mnaotaka kila kitu kizuri mfaidi nyie wakati sisi walalahoi mnatukausha damu hadi maiti mnazidai gharama za malazi na huduma ambayo marehemu hakuipata ipasavyo hadi akafariki. Shame on you all.
 
Afunge uzazi SASA watoto 8 maisha Yao ni choka mbaya.
Anamuachia papuchi mumewe amwage mbegu huku kutunza hawezi??
Inatisha sana hayo maisha.
Unajua waafrika ni wajinga sana.

Watu wanajijua wana hali ngumu, ila bado wanaendelea kuzaa kuleta watoto duniani.

Umaskini wa waafrika unatokana na ujinga na upumbavu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…