Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama maisha sio ya kuogopa, Huyo Mama anacho hangaika kuomba msaada ni nini?Umeongea ukweli maisha ni fumbo gumu sana
Kuna watu hata mmoja wanataman ila hawapati
Wako watu wanamtuhumu kuzaa watoto wengi maisha sio ya kuyaogopa sana
acha ujinga dogoKama maisha sio ya kuogopa, Huyo Mama anacho hangaika kuomba msaada ni nini?
Si akae atulie na hao watoto wake kama haogopi maisha.
Kuna mtu aliwatuma kuzaa watoto wengi halafu aanze kutia tia huruma kutaka msaada?
Find someone of your league to parallel your mediocrity, You fool.acha ujinga dogo
Msinyimane,peaneni hapo ndio mtihani unapoanzia....Kama maisha sio ya kuogopa, Huyo Mama anacho hangaika kuomba msaada ni nini?
Si akae atulie na hao watoto wake kama haogopi maisha.
Kuna mtu aliwatuma kuzaa watoto wengi halafu aanze kutia tia huruma kutaka msaada?
Kwani umelazimishwa kumsaidiaKama maisha sio ya kuogopa, Huyo Mama anacho hangaika kuomba msaada ni nini?
Si akae atulie na hao watoto wake kama haogopi maisha.
Kuna mtu aliwatuma kuzaa watoto wengi halafu aanze kutia tia huruma kutaka msaada?
Wewe siunawatuhumu waafrika ni wajinga wewe mwenye akili tuonyeshe uliyoyafanyaJambo la maana nini?
Jibu swali jambo la maana ni nini?Wewe siunawatuhumu waafrika ni wajinga wewe mwenye akili tuonyeshe uliyoyafanya
Kwani nimekwambia mimi nahitaji kumsaidia?Kwani umelazimishwa kumsaidia
Kwani hapa naishi maisha yako?Hata akizaa watoto mia wewe kinauma nini ishi maisha yako
Silengi hela mimi.Ela watoe wengine uumie wewe haya si maajabu
Hao watoto mlipeana pia?Msinyimane,peaneni hapo ndio mtihani unapoanzia....
Future yao ni Mungu tu ndio anajuwa kuhusu bangi uchangudoa haina uhusiano wowote na changamoto wanazopitia. Wapo wengi humu leo wapo maeneo wasingeweza hata kuyawazia.Hawana maaana yoyote kama hawajalelewa.....wanwanaishia kuwa wavuta bangi, machangudoa na mashoga
Kama huitaji kumsaidia kwanini unamlalamikiaKwani nimekwambia mimi nahitaji kumsaidia?
Wewe kichwa maji nini!
Kwani hapa naishi maisha yako?
Naishi maisha yangu wala si ya mtu mwingine yeyote yule.
Silengi hela mimi.
Nawalenga hao wapumbavu kama wewe mnaozaa kama mapanya halafu kulea na kuhudumia hamuwezi mpaka muanze kuomba omba misaada.
Mimi mpumbavu nikazaa watoto kumi wewe unapungukiwa na niniKwani nimekwambia mimi nahitaji kumsaidia?
Wewe kichwa maji nini!
Kwani hapa naishi maisha yako?
Naishi maisha yangu wala si ya mtu mwingine yeyote yule.
Silengi hela mimi.
Nawalenga hao wapumbavu kama wewe mnaozaa kama mapanya halafu kulea na kuhudumia hamuwezi mpaka muanze kuomba omba misaada.
Kwani mimi nakujua?Mimi mpumbavu nikazaa watoto kumi wewe unapungukiwa na nini
Live your life usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu wengine ambao hata hamjuani
Namlalamikia ujinga wake wa kuleta watoto wengi duniani halafu kulea hawawezi.Kama huitaji kumsaidia kwanini unamlalamikia
Mbona unalalamika kana kwamba Nilishakuja kukulia msaada wa kulea watoto wanguKwani mimi nakujua?
Hunijui, sikujui na wala hatujuani.
Ukiamua kuzaa watoto kumi wewe zaa tu. Ila uwe na uwezo wa kuwalea, kuwatunza na kuwahudumia.
Sio uzae watoto kumi halafu uanze kusumbua watu wakupe msaada wa kulea wanao.
Hakuna anaye kusaidia kuleta hao watoto duniani. Vivyo hivyo usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
YEYE akiwa mjinga wewe inakupunguzia niniNamlalamikia ujinga wake wa kuleta watoto wengi duniani halafu kulea hawawezi.
Wanaongeza idadi ya maskini duniani na kuipa serikali gharama kubwa sana ya kuhudumia ujinga wao.
Hainipungizii chochote.YEYE akiwa mjinga wewe inakupunguzia nini
Huyo polisi ni serikali pia.Mbona serikali haina msaada wowote kwake