Mama Wema Sepetu amvaa Whozu kuishi kwa Wema

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Kachukia kitendo cha whozu kuishi kwa wema ,wanaishi tu hawafungi ndoa
ila mama wema nae anapenda kumsema mwanae mbele za watu lazima achomoe betri,anamuambia ukweli ila anapenda drama na attention [emoji23][emoji23]

Huku Rubi kusalimiana na aunt,aunt kacheka kinafiki
Leo insta kwa moto Nasubiria dada wa taifa aamke

Kumekuchaaa nimeona kimyaa humu hebu wadau mkuje wa umbea

Your browser is not able to display this video.
 
Ntashangaa sana kama hii ID ni ya kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Search Mange Kimambi google upeleke huu ujinga huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha
 
Kwa hiyo Whozu kahamia nyumbani kwa Wema 🤦‍♀️

Ila mama Wema kwa historia ndefu ya Wema kuhusu mahusiano yake hatakiwi kuongelea uhuni...hadi sasa alitakiwa kuelewa na kukubali kwamba amezaa mwanadada muhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…