MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 1,073
- 1,941
hivi kumbe mlikuwa mnaishi wote bila kujitambulisha? , afu kuna mtu humu alisema eti mmemwagana embu tupe ubuyu kidogo basi 😜Alichokisema mama Wema ni sawasawa na mama yangu, at first sikumwelewa mama ila kumbe ndivyo wanavyoona!
Sasa naamini alikuwa sahihi.