Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Huyu mama leo ndio kaona mwanae anafanya uhuni! Kipindi alitakiwa kupiga hizi kelele ni wakati binti yake analiwa na Kanumba, wakati ambapo whozu akiwa darasa la 3Kwa hiyo Whozu kahamia nyumbani kwa Wema 🤦♀️
Ila mama Wema kwa historia ndefu ya Wema kuhusu mahusiano yake hatakiwi kuongelea uhuni...hadi sasa alitakiwa kuelewa na kukubali kwamba amezaa mwanadada muhuni
Sasa binti yake wa jijini leo anataka awe na tabia za sie wa kijijini!! Itawezekana kweli?Mama wa mjin hawezi fanana na wa kijijin
Alichokisema mama Wema ni sawasawa na mama yangu, at first sikumwelewa mama ila kumbe ndivyo wanavyoona!
Sasa naamini alikuwa sahihi.
🤣 Ni ngumu, haya mambo alitakiwa ayaseme 2007 wakati binti yake damu inachemka enzi hizo Whozu yupo la 4Sasa binti yake wa jijini leo anataka awe na tabia za sie wa kijijini!! Itawezekana kweli?
Muache kufungiana magetoni muolewe🤣Mama kaongea kwa uchungu sana Kuna maumivu nyuma ya sauti yake
Anatumia wifi ya ofisi.Unatumia tu wifi ya ofisi kula ubuyu
Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe ndo hii sasa🤣 Ni ngumu, haya mambo alitakiwa ayaseme 2007 wakati binti yake damu inachemka enzi hizo Whozu yupo la 4
Kumbe alisema alisema kwny birthday hii juz au wap?Mtoto kapost cheti amezaliwa 1990, mama anasema anakumbuka alimzaa mtoto 1988.... patamu hapoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me hela ya kumfungia mtu geto naitoa wapi akatafute hela huko aache kujilambalamba 😂Muache kufungiana magetoni muolewe🤣
Kawaida watu huwa wanarudisha miaka nyumaMtoto kapost cheti amezaliwa 1990, mama anasema anakumbuka alimzaa mtoto 1988.... patamu hapoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji419][emoji419][emoji419]Kumbe huyu mama yupo[emoji16]
Sema inaonekana mama ana tamani wema aolewe
Amesahau kuna jukwaa la kilimo akajifunze kilimo cha Vannila atakutana uko na wanunuzi wa kilo moja kwa 1M🥺🤓🤓🤓🤓🤓🤓Sasa wewe hapa celebrities forum umeijia influence gani....hebu bwanaaaa
Kwenye birthday juzi ndio.... tafuta interview akiwa nje kabla hajaingia ukumbini, akisema hapendezwi na mahusiano ya mwanae hasa mwanaume kuishi nyumbani kwa mwanae, mwishoni akaulizwa kuhusu umri akasema "nakumbuka ilikua 1986 sorry 1988"Kumbe alisema alisema kwny birthday hii juz au wap?
🤣Huku Rubi kusalimiana na aunt,aunt kacheka kinafiki
Leo insta kwa moto Nasubiria dada wa taifa aamke
Kumekuchaaa nimeona kimyaa humu hebu wadau mkuje wa umbea
Hahahahah kumekucha kumekuchaaaMe hela ya kumfungia mtu geto naitoa wapi akatafute hela huko aache kujilambalamba 😂